Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Unakuta kamtotolea watoto watano, leo anatarajia abaki na shape ya kuvutia kamwambia nani?! Yeye kama anataka kuchepuka achepuke lakini asitafute kuungwa mkono. Apambane na irregular shape yake mbona hakuiona kabla!
 
Mpende mkeo, mjali na kumthamini muhudumie inavyotakiwa apige pamba za maana na siyo vijora aende saloon mara moja kwa wiki, mara moja moja unampa ela akapige make up. Ndgu uko unakotaka kukimbilia napo utapakinai hvyo hvyo. Kwan ulipomuoa hukuona hayo? Au baada ya kumtotolesha mitoto yote hyo ndio unaiona hyo irregular shape. Hudumia mkeo vya nje hutatamani
 
Au kuna sehemu umechepuka mchepuko anacheza na akili yako asa hivi?! Ndio maana umeanza kumuona mkeo irregular shape wakat ulipomuoa uliona Regular shape take care[emoji23]
 
Reactions: nao
Duh!...unavumilia mateso kwa faida ya nani ?..watoto au ?...au unaogopa dunia/familia itakuonaje ukiondoka hapo?...

Kama unaamini mambo yatakaa sawa mbeleni endelea kupigania ndoa yako
 
Kumbe humu jf pia kuna watoto na wahuni. Hivi mtu mwenye busara unaweza kuleta uzi km huu. Una lenga nini hasa kuleta mada za hovyo km hizi kwa watu wazima. Alafu unasema eti alikuwa mkeo. Labda kimada. Otherwise childish is making you crazy. Umemchakaza kwa kumuingilia kimwili mtoto wa watu usiku, mchana na asubuhi bila kupumzika km jenereta la standby na kumnunulia machps hovyo, alivyonenepeana tu ndo unasema sio type Yako. Unavyomuona na kumsema ndio hivyo a yeye anavyokuona na kujuta kuolewa na mwanaume type Yako. Ebo, tuheshimu wanawake bwana, vipi angekuwa ni mama yako kaachwa na baba yako kwa sababu za kizembe km zako., Ungemchukia baba yako au ungemuunga mkono.

Ndugu zetu akina dada nyie pia muwe mnaangalia akili ya mwanaume km ziko sawa. Sasa unaona huyu anavyo harisha humu utadhani Bata.

Ipo siku dharau hizo watafanyiwa dada zako, au mama yako.

Acha vurugu za barehe hizo. Aaaalaaa!!!!
 
Wakati unamuoa huo muonekano haukua shida ila sasa?,huoni umempotezea muda wake bure na kumchakaza?
 
Nilipoona tu ule uzi wa eti kwamba mkeo ana uwezo mdogo kiakili nikajua kuna jambo unapika.
 
Nilipoona tu ule uzi wa eti kwamba mkeo ana uwezo mdogo kiakili nikajua kuna jambo unapika.
Kumbe kashamshutumu na mengii aiseee... Mambo ya kuoaa mwanamke uliemtamani ndo haya sasa ila alimtamanije wakati ni mbayaa.. bhasi itakuwa alikuwa na genyee zimemshikaa pisi ikasemaa mpaka unioee ndo utakulaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee
 
Wewe unachoringia ni kipi? Je unahela? Unacheo au na wewe ni handsome?

Isijekua na yeye anakuvumilia tu ili maisha yaende
 
 
Weka picha yake nimuone kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…