Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
Nimeamua nibadilishe type za wanaume πŸ˜‚
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
The list goes on πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
 
Kama wewe ndiyo hapo kwenye avatar njoo tuyajenge nna angalau asilimia 70 kwenye point zako

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…