Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Unahitaji wangapi?
 
Strong and fearless!

Nimeelewa hiyo TU hapo
 
Hatukutaki endelea na matozi
 
Criteria ilizo weka hapo, yaani sjui mganga yupo anayeweza kuzi unlock.🤣
 
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Wewe "k" yako imeishatembea kilometer ngapi tuanzie hapo! Isije ikawa imeisha kuwa mdebwedo alafu unaanza kuweka vigezo na masharti kana kwamba yaliyomo yamo!
 
Hadi hapo ni wanaume 20 tayari...... Tafuta mwanaume Ili mradi anapumua..
 
Back
Top Bottom