Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Pamoja na ushamba wangu na baadhi ya vigezo kunikataa Ila hata ningekuwa navyo nisingekuoa kabisa ,nyie hamjuagi mapenzi kazi kutabasamu kila mda Kama Malaya aliye ona bia .
Kumradhi nasema ya moyoni kuhusu nyinyi mlioshindikana katika ugawaji wa nyapu.
 
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Mchukue mshamba_hachekwi
 
Hawa ni WANAUME 13 tofauti
 
Uzinzi ni kitu kibaya sana
 
Back
Top Bottom