yaani kama umezaliwa mjini utakuta yale mengi ambayo ulofundishwa kuwa hayafai na wazazi wako yeye ndio anayafanya.
Matharani; Kuacha mswaki kwenye sink bafuni (direct contact), kufunga mlango wa Friji , gari kwa kubamiza kwa nguvu puuuuh , kunywa chai kwa kupuliza n.k
Binadamu wengine uwalone kwa nje tu lakini kuishi nae yataka moyo.
Ila ya uchafu .
Kufunga Magari , Friji kwa nguvu puuuh.
Kuacha mswaki bafuni kwenye sink,
Kula na kuacha kila kitu hapohapo n.k
Utakuta yake ambayo ulifundishwa kuwa hayafai yeye ndio anayafanya ๐
Mfano kunywa chai kwa kupulizia.