Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Tofauti ni mapishi tu,,,ila nyama ni Ile ileYa kuchoma haifanani na ya mchuzi, wala ya foili haifanani na ya kukaanga..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ni mapishi tu,,,ila nyama ni Ile ileYa kuchoma haifanani na ya mchuzi, wala ya foili haifanani na ya kukaanga..!!
Usipati tabo nipo Tuangomi na kisubiroNimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Wameshakupataaaaaa🤣🤣🤣🤣.Iyo k ni ya mama yako ama?
Maana mm sikujui na ww hunijui
Bado haujasema!!!!Nimeamua nibadilishe type za wanaume [emoji23]
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The list goes on [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Sawa....kila mmoja anakua na kazi yake
Bora tu ajitengenezee roboti lake kama Nape!!Mbona unataka kuwahi mbinguni wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] husiano chaliii ama niajee?Weeeh sina uduguu!! Si unajua hapa kati nilikuwa busy na husiano lilotaka kunitoa roho [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe bana ubuyu huo nakuja bobo
Em sema kweli dear? [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume mzuri ni yule mkionana energy zenu Zina match
Hivi mshamba ni mtu wa namna gani?Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂