Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Hapo tayari una wanaume 10.
Nakushauri chagua sifa moja tu,ukiweka nyingi maana yake unataka wanaume wengi.
 
tr
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Trust tafuta mtu ambaye mnavibe naye...nilijaribu kubadilisha type nikahamia kwa mama wachungaji aisee hakuna mahusiano yanaboa kama hamuendani kila kitu kwake dhambi..Basi imefika weekend hata tukanywe juice hataki....Tafuta mtu una vibe zinazolingana other wise utawapotezea watu muda wao
 
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Number 5,,,, huyo utakutana nae wapi? yuko zake busy na ibada unadhani utampata?
Anajari ufalme wa mvinguni tu hawazi chini wala pu-🐈….
Sisi ndio tupo. 🥳
 
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Sawa hongera kwa ku muvu on.
 
Ushamba mzigo @ dada.

Wengine hata asome hadi Chuo kikuu haachi tabia ya uchafu 👌👌
Unajiuliza asingesoma ingekuwaje?

Uchafu wa mwili hadi mazingira.
Kijiko kuweka chini ya sink ya kuoshea vyombo direct contact hao ni shida,
Kopo la bafuni kuchotea Maji jikoni haoni shida,
Kula akatupa ndani ataona Sawa.
 
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅

Inabidi uwe umpenda kwa dhati ya moyo au awe na Hela au vyote lakini akiwa hana Hela na iwe hujawahi mpenda isipokuwa ilimradi utapata nae shida
 
Back
Top Bottom