KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Hapo kwenye petrol.. Code ni 6G72..!Chukua ya Diesel Yenye injini ya 4M40 hii Ina 2800cc na inatumia mafuta Vizuri sana. Mafundi na spea zinapatikana kila sehemu Maana hii injini ipo sokoni miaka mingi imetumika kwenye Mitsubishi Canter na Rosa pia Pajero za zamani.
Kuna 4M41 Hii imeboreshwa Zaidi na Ina nguvu Zaidi, inataka umakini sababu inatumia mifumo ya umeme Zaidi.
Kwa upande wa Petrol Kuna 4G72 Hii ni V6 Iko poa kama ni mtu wa kupenda mbio, umakini unatakiwa katika mafuta Hii ni Gasoline Direct Injection
Naunga hoja kwenye diesel..!
Utalipia zaidi wakati wa manunuzi.. Ila mbeleni utasave mafuta..! Kama una misele mingi..
Ila kama misele michache.. Petrol..!
Tofauti ya bei ya manunuzi utaweka kwenye mafuta..!