Nimeamua nichukue hii Ndinga; Una maoni gani ya kitaalam nauzoefu

Leakage imetokana na nini? Seal?
Hii ndo report ya ukaguzi

IMG-20220214-WA0029.jpg
 
Hii ndo report ya ukaguzi

View attachment 2119611
Mwezi uliopita niliingiza gari... yenyewe haikufanyiwa inspection nje.... TBS walipoifanyia inspection ika fail kwa ishu ya oil leakage so nikapeleka kwa fundi akabadilisha seal nikapeleka tena TBS wakaipitisha....

So kama ni minor don't worry agiza ndiga wataifix tu....

Screenshot_20220215-120030_WPS%20Office.jpg
 
Mwezi uliopita niliingiza gari... yenyewe haikufanyiwa inspection nje.... TBS walipoifanyia inspection ika fail kwa ishu ya oil leakage so nikapeleka kwa fundi akabadilisha seal nikapeleka tena TBS wakaipitisha....

So kama ni minor don't worry agiza ndiga wataifix tu....

View attachment 2120033
Nashukru sana mkuu, nishafanya maamuzi tayari, maana nimeona inspection report yake grade ziko kama ifuatavyo
1. Extrior-Grade 4
2.Interior-Grade B

So condition iko vzuri so nachomoka nayo mkuu
 
Mwezi uliopita niliingiza gari... yenyewe haikufanyiwa inspection nje.... TBS walipoifanyia inspection ika fail kwa ishu ya oil leakage so nikapeleka kwa fundi akabadilisha seal nikapeleka tena TBS wakaipitisha....

So kama ni minor don't worry agiza ndiga wataifix tu....

View attachment 2120033
Leakage ilikua small au large?
 
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.

Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.

Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni ya mwaka 2007.
Iko grade 4 kwenye mnada wa magari.

Kazi yangu kubwa ni kifamilia tu ikiwemo kazini na route za kutoka kanda ya Kaskazini kwenda Kanda ya ziwa pamoja na familia.

Mnaonaje wataalam itanifaa? Nisaidieni kumtag Mshana na wataalam wengine nipate maoni yao.

Asanteni
NB: Swala spare na mafuta si tatizo sana naweza nikamudu

View attachment 2116765

View attachment 2116766

View attachment 2116767
Chukua 2 kabisa zitakufaa sana
 
TBS hawaandiki kama ni small au large... Waliandika oil leakage tu...

But ilikua ukipaki lazima ukute oil imemwagika ya kutosha.... niliikuta robo...
Asante sana Mkuu.
Actually hii haivuji kwamba ukute tone chini basi ngoja ni seal deal tu saivi.

Asante sana nyote kwa ushauri wenu
 
Kwema wakuu, as naendelea kujifunza mambo mengi kupitia jukwaa hili.

Naomba kujua nini faida na hasara ya engine za Diesel na Petrol kwa magari hapa TZ

Nimefuatilia nyuzi kadha wa kadha zinadai private car kuwa ya diesel ni mtihani TZ kisa mafuta sio reliable sana, yanachakachuliwa halafu span yake ni ndogo.
Is it true?
 
Nzuri,ila ungepata ya black,halafu kule juu unakuta ina sunroof na roofrails huwa inapendeza sana...
Sunroof nasikia huwa yanaharibika sana, labda roofrails
 
B
Kwema wakuu, as naendelea kujifunza mambo mengi kupitia jukwaa hili.

Naomba kujua nini faida na hasara ya engine za Diesel na Petrol kwa magari hapa TZ

Nimefuatilia nyuzi kadha wa kadha zinadai private car kuwa ya diesel ni mtihani TZ kisa mafuta sio reliable sana, yanachakachuliwa halafu span yake ni ndogo.
Is it true?
Binafsi ni mpenzi wa diesel, nilitumia nissan patrol y61 TD42, kisha natumia nissan xtrail yd22ddti common rail.. Kwa engine ya saizi ile ile diesel inakula wese kidogo, ila naona engine zake ni za kutunza kama yai, kosa dogo linakugharimu, kitu miyeyusho kwa baadhi ya engine za diesel ni kufa kwa nozzle haswa za umeme, hii pasua kichwa bei zake pia zimechangamka si kitoto, pia kuwa makini na sheli, hawachelewi kutia petrol, hii ilinikuta wakatia mzigo wa petrol almanusura presha ipande (kama sio michezo ya kubet na arsenal kunipa uwezo wa kuhimili stress 😂🤣) basi ningezima, gari ndio nimetoka kufanya service ya nozzle karibia 600k huko nadaiwa.

Huu ni ushauri wa haraka haraka, ushauri mzuri utapata kwa mafundi kabisa.. JituMirabaMinne na wenzie.
 
Gari ya diesel.. Utanunua kwa gharama..
Utasave mafuta..
Kupata power either Itakuwa na cc kubwa au ifungwe turbo..
Services utatumia hela zaidi..
Kuhusu mafuta.. Hapo ukinunua diesel za kisasa.. Ila old school engines hazina changamoto hiyo..!

Petrol.. Utalipia mafuta zaidi..
Engine itakuwa na cc ndogo..
Service yake utatoa pesa kidogo tuu..

Gari ya matumizi ya kawaida.. Kama ni saloon.. Petrol ndio better option..
Small engine block na unapata power ya kutosha..!
Gari ndogo weight ni ishu..

Kama ni Pick up au SUV.. Hapo unaweza ukaangalia nini hasa unataka.. Economy au Performance..!
Diesel kwa Economy
Petrol kwa Performance..!
Hapo ni kwenye running cost.. Ukija kwenye maintenance cost.. Diesel utalipa zaidi.. Kuna diesel engines zina oil filters mbili.. Nyingine zinahitaji battery 2..!engine oil inaingia lita 11..!
Gharama tupu..!

Life span.. Diesel inategemewa kuwa na life span kubwa.. Sababu hasa ni kugenerate power kwenye lower rpms.. Kwahiyo msuguano wa piston na block sio mkubwa kama petrol.. Wear n Tear inakuwa ndogo.. Maisha marefu..!
 
Binafsi SUV kama land Cruiser, Nissan Patrol and so on na prefer diesel kuliko gasoline
 
Ahhh ok.. Diesel ni popular kwa economy.. Pia ile grunt kwenye rpms ndogo ndio tamu..!

Kwa hizo gari ilizotaja..
Landcruiser petrol 1FZ>>>>1HZ
Nissan Patrol TB42>>>>TD42
Shida ya petrol ni consumption kubwa.. Ila engine very smooth..
 
Gari ya diesel.. Utanunua kwa gharama..
Utasave mafuta..
Kupata power either Itakuwa na cc kubwa au ifungwe turbo..
Services utatumia hela zaidi..
Kuhusu mafuta.. Hapo ukinunua diesel za kisasa.. Ila old school engines hazina changamoto hiyo..!

Petrol.. Utalipia mafuta zaidi..
Engine itakuwa na cc ndogo..
Service yake utatoa pesa kidogo tuu..

Gari ya matumizi ya kawaida.. Kama ni saloon.. Petrol ndio better option..
Small engine block na unapata power ya kutosha..!
Gari ndogo weight ni ishu..

Kama ni Pick up au SUV.. Hapo unaweza ukaangalia nini hasa unataka.. Economy au Performance..!
Diesel kwa Economy
Petrol kwa Performance..!
Hapo ni kwenye running cost.. Ukija kwenye maintenance cost.. Diesel utalipa zaidi.. Kuna diesel engines zina oil filters mbili.. Nyingine zinahitaji battery 2..!engine oil inaingia lita 11..!
Gharama tupu..!

Life span.. Diesel inategemewa kuwa na life span kubwa.. Sababu hasa ni kugenerate power kwenye lower rpms.. Kwahiyo msuguano wa piston na block sio mkubwa kama petrol.. Wear n Tear inakuwa ndogo.. Maisha marefu..!
Asante sana, useful analysis
 
Haka ka uzi kalinifungua macho sana
 
Back
Top Bottom