Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Ishafika?Haka ka uzi kalinifungua macho sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishafika?Haka ka uzi kalinifungua macho sana
Kama bi ya diesel hongera...kama ni petrol karibu kwenye mapambanoAwali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.
Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.
Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni ya mwaka 2007.
Iko grade 4 kwenye mnada wa magari.
Kazi yangu kubwa ni kifamilia tu ikiwemo kazini na route za kutoka kanda ya Kaskazini kwenda Kanda ya ziwa pamoja na familia.
Mnaonaje wataalam itanifaa? Nisaidieni kumtag Mshana na wataalam wengine nipate maoni yao.
Asanteni
NB: Swala spare na mafuta si tatizo sana naweza nikamudu
View attachment 2116765
View attachment 2116766
View attachment 2116767
Hio gari mbona ishauzwaAwali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.
Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.
Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni ya mwaka 2007.
Iko grade 4 kwenye mnada wa magari.
Kazi yangu kubwa ni kifamilia tu ikiwemo kazini na route za kutoka kanda ya Kaskazini kwenda Kanda ya ziwa pamoja na familia.
Mnaonaje wataalam itanifaa? Nisaidieni kumtag Mshana na wataalam wengine nipate maoni yao.
Asanteni
NB: Swala spare na mafuta si tatizo sana naweza nikamudu
View attachment 2116765
View attachment 2116766
View attachment 2116767
Mkuu vocha unatoa 20k si bora ulipe faini? Bei elekezi ni 5k mpk maximum 10k...Asante JF kwa maoni na ushauri wenu
Ndinga ishafika home ikiwa na condition nzuri sana kiubora na mwonekano.
Baada ya kuipokea nimemwaga tu oil, nikaipiga road hadi huku kanda ya kaskazini, haikunisumbua kabisa ispokua ndo najiandaa niifanyie servicea kubwa.
Speed: Kwa watu wa speed gari nzuri sana, kwa wanaopenda ligi hii unakupa heshima.
Mafuta: Niliweka full take (88L) nimefika kanda ya kaskazini tank liko chini ya robo, I think ni sababu ya speed maana ilikua 120-160km/hr halafu bamsi nyingi sana jiani.
Nilitoka Dar saa 10 jioni nimefika nyumbani saa 6 kuelekea saa saba usiku nyumbani.
Picha ya kushoto nimepiga maeneo ya Chalinze tukipasua anga.
Anyaway; Nilikua vicha sita njiani kwa 20,000 kila mmoja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 2184739
View attachment 2184744
bei gani hii mkuuAsante JF kwa maoni na ushauri wenu

Aah hapo sawa mzee...Typing error: nilipiga vichwa 6 njiani kwa twenty twenty
Hio alochukua jamaa ni petrol ya diesel inakua na 3200CC V98WHiyo gari ni mzuri Sana alafu diesel haina shida kwenye fuel consumption.. sikuhizi zipo nyingi Sana road
Safi sana mkuu kila la kheribei gani hii mkuu
Tupe uzoefu na nissan xtrail yd22ddti yako,B
Binafsi ni mpenzi wa diesel, nilitumia nissan patrol y61 TD42, kisha natumia nissan xtrail yd22ddti common rail.. Kwa engine ya saizi ile ile diesel inakula wese kidogo, ila naona engine zake ni za kutunza kama yai, kosa dogo linakugharimu, kitu miyeyusho kwa baadhi ya engine za diesel ni kufa kwa nozzle haswa za umeme, hii pasua kichwa bei zake pia zimechangamka si kitoto, pia kuwa makini na sheli, hawachelewi kutia petrol, hii ilinikuta wakatia mzigo wa petrol almanusura presha ipande (kama sio michezo ya kubet na arsenal kunipa uwezo wa kuhimili stress 😂🤣) basi ningezima, gari ndio nimetoka kufanya service ya nozzle karibia 600k huko nadaiwa.
Huu ni ushauri wa haraka haraka, ushauri mzuri utapata kwa mafundi kabisa.. JituMirabaMinne na wenzie.
Gari frresh, bado natumia, nafikiria kuiuza sababu sasa hivi nimehamia shamba, naona naitesa huku shambaTupe uzoefu na nissan xtrail yd22ddti yako,
Consumption yake inaendaje? Ni manual?Gari frresh, bado natumia, nafikiria kuiuza sababu sasa hivi nimehamia shamba, naona naitesa huku shamba
Yes, ni manual, inakula vizuri saana litre 1 km 13hiv mpaka 15(kutegemea)Consumption yake inaendaje? Ni manual?
Naskia huwa ni gia 6.... Anyway ukiwa waisukuma ni tag!Yes, ni manual, inakula vizuri saana litre 1 km 13hiv mpaka 15(kutegemea)