Nimeamua nichukue hii Ndinga; Una maoni gani ya kitaalam nauzoefu

Kama bi ya diesel hongera...kama ni petrol karibu kwenye mapambano
 
Ni Petrol mkuu, bajeti kaka hujibalance yenyewe tu ukitumia zaidi kwenye mafuta kuna sehemu mwezako ambaye hatumii zaidi kwenye mafuta yeye anatumia sehemu nyingine...mfano ana michepuko mingine...
 
Hio gari mbona ishauzwa
 
Asante JF kwa maoni na ushauri wenu
Ndinga ishafika home ikiwa na condition nzuri sana kiubora na mwonekano.
Baada ya kuipokea nimemwaga tu oil, nikaipiga road hadi huku kanda ya kaskazini, haikunisumbua kabisa ispokua ndo najiandaa niifanyie servicea kubwa.

Speed: Kwa watu wa speed gari nzuri sana, kwa wanaopenda ligi hii unakupa heshima.

Mafuta: Niliweka full take (88L) nimefika kanda ya kaskazini tank liko chini ya robo, I think ni sababu ya speed maana ilikua 120-160km/hr halafu bamsi nyingi sana jiani.

Nilitoka Dar saa 10 jioni nimefika nyumbani saa 6 kuelekea saa saba usiku nyumbani.

Picha ya kushoto nimepiga maeneo ya Chalinze tukipasua anga.

Anyaway; Nilikula vichwa sita njiani kwa 20,000 kila mmoja 😀😀😀😀



 
Mkuu vocha unatoa 20k si bora ulipe faini? Bei elekezi ni 5k mpk maximum 10k...
 
bei gani hii mkuu
 
Duuu kumbe dashboard inasoma 220 hapo ni balaa tupu Kwa watu WA league
 
Tupe uzoefu na nissan xtrail yd22ddti yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…