Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

Usemalo ni kweli mkuu, ndomana hata mimi nilijaribu kuuepuka ule mtego, lakin baada ya dem kusaula nilisanda mwenyewe nikapiga mzigo.
 
Na picha umeweka kabisa
Tangazo limejitosheleza
Unajua siku hizi ukiweka thread fulan ni vizuri ukaambatanisha hata na kapicha ili watu waone uhalisia wa kile ulichoandika.

Sasa hiyo ya kuweka picha ni kawaida tu usiogope.
 
Hahaha amna cha tangazo hapo mkuu, hili ni jambo lililonitokea juzi kati, na sasa nipo njiapanda sijui hili swala litaishaje.
 
Hii story Kuna Watu watasema Ni chai[emoji26]
Ya ni kweli mkuu, sana sana kwa wale wasioelewa kilichotokea. Ila kuna waona mbali ambao wameelewa kilichoandikwa.
 
Utapata wateja wengi kwa maana ya Mamanzi,ila lipia Tangazo lako.
Kaka usiombe yakukute yalionikuta, utaona kama ulimwengu wote umekudondokea kichwani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…