Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

Tukiachana na tangazo la Mleta uzi.

Kwa Wanaume,

Narudia tena leo, Kamwe usishawishike kutembea na Mke wa Mtu. hata awe amekushawishi namna gani.

Utakuja kutobolewa spika, kuuliwa, kuwekwa kilema cha Maisha, kurogwa na mengine mengi.

Be a Man, acha tamaa za Kijinga.
Usemalo ni kweli mkuu, ndomana hata mimi nilijaribu kuuepuka ule mtego, lakin baada ya dem kusaula nilisanda mwenyewe nikapiga mzigo.
 
Na picha umeweka kabisa
Tangazo limejitosheleza
Unajua siku hizi ukiweka thread fulan ni vizuri ukaambatanisha hata na kapicha ili watu waone uhalisia wa kile ulichoandika.

Sasa hiyo ya kuweka picha ni kawaida tu usiogope.
 
ani binti akaanza kusisimka kwa kuona kitu ambacho yeye anadai hakuwahi kukutana nacho katika maisha yake. Yani alihisi kama vile kakutana na joka ndan ya suruali yangu. Ila kwa vile alikuwa na kiu ikabidi akubali tucheza kuvunja yai na shababi mimi.

Unaonaje ukilipia Tangazo... japo kiduchu tu?
Hahaha amna cha tangazo hapo mkuu, hili ni jambo lililonitokea juzi kati, na sasa nipo njiapanda sijui hili swala litaishaje.
 
1-.jpeg
 
Back
Top Bottom