Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka apikajeYaan Dem unapika hivi? Aibu sana
Mume wake amechoka tu Hana maajabuHapo ndo kuanza kushikana mashati na mganga, mwisho mganga anatupa jini[emoji119]
Tuhurumieni jamani,nyie ndio mnaotusbabishia wakati mwingine tunaongea peke yetu barabarani...Nimeamua nimpike leo shemeji yenu leo ili ale ashibe ndipo nimwambie sasa kuhusu Pamela, achague mmoja mimi au pamela!
View attachment 2601437View attachment 2601438
Nimemuwekea na ka mzizi kidogo!
Ye anasema anamtaka Pamela😂😂😂😂 jaman nataka anigande
Hawezi kufanya jaman Half american embu niambie ukwelYe anasema anamtaka Pamela
Mume wake amechoka tu Hana maajabu
Mume wake amechoka tu Hana maajabu
Mie nitakupa usaidizi wa yeye arudi sijui utakuwa nashukrani ipiNjoo basi unisaidie
Kufanya nn?Hawezi kufanya jaman Half american embu niambie ukwel
figo76 ni kweli haya maneno yasemwayodume hilo mzee, nenda kwa makini. Hakuna mwanamke hapo.
Ooh ooh It is going down, ....inaanzaga hivi hivi kwa huu msemo "nije nipigwe na mkeo"🤣🤣Ili nije nipigwe na mkeo
Otea mrejesho utakuwajeMimi na ndugu zangu tupo hapa tunasubiri mrejesho akishakula
Ana mtu wake mmoja tuPamela
Mizizi au mifupa ? Uwe unanunua nyama stake kilo 1 haizidi 30,000/-Nimemuwekea na ka mzizi kidogo!