Nimeamua nithubutu ingawa nina mtaji pungufu ya laki saba. Nawe waweza jaribu mahali unapoishi

Napata hofu kama kweli wewr ni mwana chuo maana haujaweza kutofautisha L na R
 
Asee idea nzuri kama unaipractice big up kinoma. Ila kma ni idea umeleta hapa please kaijarbu itakutoa.
 
Safi sanaaa. Kidogo na idea ya biashara hyo. Naweza nikakushauri kwa hapo ulipofikia pa zuri sanaa asa jaribu kutoa lak 2 kununua mchele wa mbeya au Moro, na hyo laki 2 nyingine nunua huko kwa kuangalia soko na kuandika kila atachokumbia mteja na kingne anza kutofautisha Mchle wa kuwauzia mama ntilie na sehem nyingne kwa kununua vifuko k.koo vya kilo 5 pale k. Koo sokon vipo (packaging) ili kuwa bora zaid uuze kwenye ofis moja hadi nyingine na ukiona mchle unakaa sana unakopesha lwa wale unawaamn ili usikae Sana'a kwako pia haifai.mchle wa mbeya unasoko sana na jitahid kumwambia awe ana uchambua ule wa maofisin kilo 5,
 
huo mchele unaununua kutoka wapi?
 
Mkuu asante sana nimekupata hio idea yakufunga kilo tano tano ngoja nianze kuifanyia kazi.Asante sana mkuu na ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…