Nimeamua nithubutu ingawa nina mtaji pungufu ya laki saba. Nawe waweza jaribu mahali unapoishi

Mkuu huu mchele nimeutoa Nzega Tabora na unaharufu nzuri tu na watu wanao utumia wanadai ni mzuri sana.Leo nisiku ya tatu tangu nianze kuuza na nineshauza kilo zaidi ya 150.
jaribu kuingia na urambo huko unaweza ukaupata kwa bei rahisi zaidi mwaka huu watu wamelima sana mpunga maeneo hayo na wakati huu bei ni ya chini sana hivyo unaweza kupata mzigo mkubwa kwa bei rahisi sana.

ila kuwa makini wakati mwingine unaweza ukanunua mpunga ukikoboa unatoka pilau unakuwa siyo mweupe hivyo hasara mkononi. ila kwa maeneo ya urambo utaupata mwingi sana tu
 
Poa mkuu nimekuelewa sana na asante sana kwa mchango wako kaka.
 
Good boy.i like ur business. sio vijana..wengine wanakuwa.team kupendeza
 
Fata kanuni za biashara ili ukaguliwe na tfda na ulipe kodi. Lazima uuze Mchele kwa bei ya chini na hii inatupa unfair advantage over others.
 
Reactions: MC7
Safi sana ungeweka na mawasiliano tukiitaji tunakutafuta
 
Fata kanuni za biashara ili ukaguliwe na tfda na ulipe kodi. Lazima uuze Mchele kwa bei ya chini na hii inatupa unfair advantage over others.
Mkuu kulipa kodi ntalipa tu kama nikistahili kulipa.Lakini mkuu biashara ya mtaji wa laki sita na nusu ukinilipisha kodi ndio naanza mtaji wangu wote siutateketea Mkuu.

Kuhusu kuuza mchele kwa bei ya chini nafikili nauza kwa bei ya chini tena sana just imagine stop over(Kimara) wanauza mchele 2500/2000 kwa kg1. Mie nauza 1800.Tena mtu mwingine akichukua kuanzia kilo mia namushushia kidogo.

Kuhusu tfda kukagua nafikili wanakagua vitu vinavyostahili kutumika km vinafaa au havifai sasa jambo la kujiuliza mchele unao toka shambani ambao hauna chemical yeyote una expire date Mkuu?.
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…