Mbona una hasira kwa maamuzi yangu ππ, wewe umemalizana na ya kwako na ndugu zako? Mjinga kabisaMpaka hapo,inaonekana huna akili kabisa.Weka Kwanza matokeo yako Kwanza ila ficha jina.
Ili tuone tunamshauri mtu kweli au mtu fake.
Wewe ni mzigo Kwa Taifa.
Shule zetu za Umma zinateseka kuwa na watumishi dizain hii.
Pamoja mkuu....endelea kufatilia nondo zangu achana na mambo ya sport kule... π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Hapa umetisha.
Mnaboa,cjui elimu mnayopata haiwasaidii.Mbona una hasira kwa maamuzi yangu ππ, wewe umemalizana na ya kwako na ndugu zako? Mjinga kabisa
Mjinga ni wewe,unakuja kulialia humu.Mbona una hasira kwa maamuzi yangu ππ, wewe umemalizana na ya kwako na ndugu zako? Mjinga kabisa
Kwanini? Shule nafundisha physics na mathematics kwa sababu hakuna mwalimu WA math.Wewe ni muongo sana
View attachment 2962311
1. Soma vitu vyoote ila usikose kusoma sheria ukisoma degree ya sheria ukaenda law school ukapata mhuri wako kaa usubiri hela maana kigoma walivyo wabishi hao ndo wateja wako yakiwafika shingoni.Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Duka/biashara ya uchuuzi inabidi kuwe na ufatiliaji mkubwa sana, sasa nikifungua biashara kahama alafu nipo kigoma inawezekanaje hii. Serikalini watu wote ni fisadi tU hakuna anaefanya kwa haki.1. Soma vitu vyoote ila usikose kusoma sheria ukisoma degree ya sheria ukaenda law school ukapata mhuri wako kaa usubiri hela maana kigoma walivyo wabishi hao ndo wateja wako yakiwafika shingoni.
2. Fungua duka la hardware hata mkoa mwingine utanishukuru baadae.
N.b sio wote wenye sheria wamefanikiwa nilikuwa nakurahisisia kuwa your own boss.
N.b hii ni muhimu usiajiliwe unless unataka kuwa fisadi.
N.b nasisitiza no 2.
Acha kazi biashara simamia mwenyewe ndo utaona faida. Andika barua ya likizo bila malipo wakikunyima acha kazi.Duka/biashara ya uchuuzi inabidi kuwe na ufatiliaji mkubwa sana, sasa nikifungua biashara kahama alafu nipo kigoma inawezekanaje hii. Serikalini watu wote ni fisadi tU hakuna anaefanya kwa haki.
Shukrani, nimekuelewa.Acha kazi biashara simamia mwenyewe ndo utaona faida. Andika barua ya likizo bila malipo wakikunyima acha kazi.
Mimi niliacha kazi kwenye acount nilikuwa na laki tatu nikaenda kusoma wewe una mil 15 unaogopa nini?
Niliacha kazi chuo nikakosa mkopo kwa shida sana nilisoma.
Mungu hana choyo sio kama sisi binadamu.
Nilikuwa nauza nguo chuoni najilipia ada sikutaka kumtesa mama yangu tena alinisomesha shule za gharama sekondari bado nimtese chuo? Wakati kuna wadogo zangu ndo maana nilisimama mwenyewe.
Kabla hujaacha kazi kwanza kopa, hela utakayo ikopa ifungulie acount benk nyingine inunulie vifaa vya ujenzi.
Usiandike barua ya kuacha kazi kwanza kuwa mtoro.
Nimechoka kuandika wewe kopea mshahara wako acha kazi.
Walimu wanaogopaga kuacha kazi wasikutowe kwenye mstari be your own boss
Kama hujaoa ukiamua kufanya biashara mwaka wa kwanza utakaofanya biashara usiingie mahusiano yoyote.Shukrani, nimekuelewa.
Komaaa uhamie dar ,achana na mambo yakusomaSio rahisi nimejaribu mpaka kuhonga niamie kibaha/kisarawe imeshindikana.
ww hujiulizi kwann kwa tanzania hii... hakuna muha yoyote ambaye amefanikwa mjini anataka kurudi kujenga kwao kigoma ... ??? nimekaa kigoma karibia yote kasulu, kibondo , kakonko, kgm mjini kote tabia ni zile nimeishi zaid ya miaka nane watu hawataki maendeleo huko... Huko mtu unaendae kupiga masanga unasema huyu mwana ukienda kukojoa tu anakuweke sumu kwenye kinywaji!!! Ukiona mji mchaga umemshinda jua hakuna biashara huo mjiNdiyo maana walimu wanarudi wamepauka balaa
Aiseeww hujiulizi kwann kwa tanzania hii... hakuna muha yoyote ambaye amefanikwa mjini anataka kurudi kujenga kwao kigoma ... ??? nimekaa kigoma karibia yote kasulu, kibondo , kakonko, kgm mjini kote tabia ni zile nimeishi zaid ya miaka nane watu hawataki maendeleo huko... Huko mtu unaendae kupiga masanga unasema huyu mwana ukienda kukojoa tu anakuweke sumu kwenye kinywaji!!! Ukiona mji mchaga umemshinda jua hakuna biashara huo mji
Tofauti ya huyu tayari anacheck number ana chance akienda kusoma anaweza kubadilishiwa kazi kama atapata nafasi sababu wilaya nyingi hazina mait wanaotosha.Watu wana Masters za information technologies wapo kitaa,jichanganye tu utakumbuka Kigoma.Omba uhamisho nenda Mjini ukatimize ndoto zako,kamwe usiache kazi