Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Kuna tofauti kubwa ya kuvumilia na kupoteza muda mkuu, siwezi kuwekeza million 15 mauzo kwa siku 60,000/= nikajitapa kwamba nafanya biashara, nimewakuta hapa watu wapo kwenye game za biashara miaka zaidi ya 15, wauza vitambaa, vitenge, electronics, nguo,vyombo n.k lakini hakuna chochote wanachojivunia mkuu.
 
Archana Na nutrition soma business administration
 
Narudia Tena mkuu, siwezi invest million 15 alafu nikauza 60,000/= kwa siku na Mimi nikajitapa kwamba Nina biashara huo ni ujinga, ningekua kwenye miji mikubwa ungenishangaa sana, lakini kwa kigoma ndio nimeshindwa ning'amue nifanye nini, nimefanya biashara dar kwa mtaji wa million 1.5 nilikua nauza viatu hapo karume kwa mwezi nilikua sikosi laki 5 hapo nimeshafanya kila kitu, hapa nazingumzia kigoma, hizo idea za kufungua kijiwe cha kahawa sio mambo yangu ndoto zangu ni kubwa zaidi ya hizo.
 
Follow your passion usikatishwe Tamaa Na maneno ya watu kila MTU ana Maisha tofauti Mungu kampangia.....Biashara Sio wote wanafanikiwa wapo waliofanikiwa kupitia kusoma....songa mbele mtangulize Mungu....Nakutakia kila la kheri
 
Kasome sheria
Kasome sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…