Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Kama umeamua kupambana kwa njia hiyo, upambane kweli. Ila unaonekana bado hujakaza zaidi na ishu ya kusoma. Sio kweli kwamba kazini ni mpaka ufikishe miaka 3 ndio ukasome. Ukishathibitishwa au hata kabla wewe ukipata gap la kusoma kwa funds nje na Taasisi yako unakwenda.
 
Kuna tofauti kubwa ya kuvumilia na kupoteza muda mkuu, siwezi kuwekeza million 15 mauzo kwa siku 60,000/= nikajitapa kwamba nafanya biashara, nimewakuta hapa watu wapo kwenye game za biashara miaka zaidi ya 15, wauza vitambaa, vitenge, electronics, nguo,vyombo n.k lakini hakuna chochote wanachojivunia mkuu.
Sasa kuliko kuweka hiyo hela benki si bora ununuee hata viwanja hapo dodoma vikae mkuu kuliko kumpa benki afanyie biashara.?
 
Asante at least umenishauri, maana upande mwingine niliwaza nikasome welding, aluminum n.k kwa sababu mtaji ninao ninaweza fungua ofisi na kuajiri vijana.
There you are...usikubali kwnd kupoteza miaka mingine mingi ya kujaza theory kichwani...mfano sheria ni 4yrs na ukitoka hapo utatakiwa upitie law school ili uwe cerified lawyer ..je umejiandaa na competition ya soko? Ukienda Veta chagua kitu unachokipenda kisomee in practicals ukitoka hapo ww ni fundi anzisha ofisi pokea tender kula hela...
 
Mzee achana na habari za kusoma Bora hiyo pesa uliyochukua bank ubet yaani Mimi Nina miaka 25 nimetimiza mwaka huu ila wazo la kusoma Sina kabisa na nimefanya saving 10 million mpaka Sasa hivi kupitia betting huo ndio mda wa kusave ukiwa na familia utaukumbuka huu mda mzee Tanzania Sasa hivi elimu sio kitu
 
ukiona mtu anaomba ushauri hawezi kuachana na kitu maanake anahofu. Pia usitegemee mawazo ya watu ufikirie utatoka huna self-esteem. Ni sawa na mapenzi ukiona mtu anaomba ushauri huyo bado anapenda
Sawa mkuu, kwahiyo nifanyaje? Niko njia panda kweli kweli, wazo langu kubwa ni kufanya biashara lakini kwa mkoa niliopo nashindwa nifanyaje, nimeshafanya research nyingi lakini naona kama nikupoteza pesa na muda. Option iliyobaki naona ni kusoma uhasibu open.
 
Mzee achana na habari za kusoma Bora hiyo pesa uliyochukua bank ubet yaani Mimi Nina 25 nimetimiza mwaka huu ila wazo la kusoma Sina kabisa na nimefanya saving 10 million mpaka Sasa hivi kupitia betting
Betting nimeliwa sana sioni mapya kupitia betting, hata hiyo million 15 inaweza kubaki 0 kwa muda wa mwezi mmoja TU, Sasa kama Jana liver kafungwa na Atalanta utamshawishi nani aone betting ni Bora?
 
Back
Top Bottom