Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Betting nimeliwa sana sioni mapya kupitia betting, hata hiyo million 15 inaweza kubaki 0 kwa muda wa mwezi mmoja TU, Sasa kama Jana liver kafungwa na Atalanta utamshawishi nani aone betting ni Bora?
Betting ni timing unatakiwa uwe makini sana Ili kupunguza lose na ndio biashara ninayoiona kwangu Bora maana unahitaji simu na vocha tu Mimi nataka mpaka namalizia huu mwaka niwe na pesa ya maana ila kama unaona kwako sio Bora jaribu biashara nyingine ila shule sikushauri unapoteza mda na pesa zako Mimi mpaka mda huu Nina 10 million betting pesa ipo ila inatakiwa uwe makini sana na usiwe na tamaa ya kuweka pesa nyingi sana utaumia
 
serious una mshauri jamaa akabet mil 15?
 
Sawa mkuu, kwahiyo nifanyaje? Niko njia panda kweli kweli, wazo langu kubwa ni kufanya biashara lakini kwa mkoa niliopo nashindwa nifanyaje, nimeshafanya research nyingi lakini naona kama nikupoteza pesa na muda. Option iliyobaki naona ni kusoma uhasibu open.
sema una busara ungelijibu vibaya ningejua IQ yako cha kufanya tafuta connection ya kuhamia maeneo yenye biashara na vyuo kwa ajili ya kusoma.

Na maanisha usipohama hilo eneo ukahamia sehemu zenye mzunguko wa hela kama Dar... utaenda kusoma ukimaliza utarudishwa huko huko pia hadi upewe IT au cheo chochote ni connection.

Tafuta connection ya uhamisho ama nenda kusoma ila weka akilini neno kuhama na connection.

ukiendelea kuwaza kufanyiwa re-cate utatumia nguvu kubwa halafu mwisho utakuja kukata tamaa maana mshahara ni mshahara tu hautoshi.

Nikupongeze kitu kimoja umeshagundua kuwa ajira ni utumwa. Neno mtumishi kwa mimi mwanalugha (a linguist PhD) limejificha kwenye maana ya msingi "mtu anayetumwa" yaani anayetumika kwa niaba ya mtu fulani ambaye anapata faida kukutumia anavyotaka.

Poor Brain Intelligent businessman
 
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.

Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.

Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.

Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Naomba nikushauli mambo mawili
1.kama unasoma kwa lengo la kupata skills ukazitumia katika kujiajiri na kutafuta fursa za kukuongezea kipato basi nenda kasome

2.kama unasoma kwa lengo la kutafuta ajira mpya na kuachana na kazi uliyonayo basi ni vyema ufanye biashara
 
Sema iyo hela kuiweka bank tu ikae huo ndo ufala ss mpk unamaliza shule iyo milion 15 haina thaman ya milion 15 ya ss yaan hela ya tz inashuka thaman haraka sn nakwambiaje baada ya miaka 3 iyo milion 15 utaiona kama milion 5 ya ss dah ila bongo kuna watu wana shida kweli una milion 15 halaf unaenda kuweka bank ikae tu
 
Sawa mkuu, kwahiyo nifanyaje? Niko njia panda kweli kweli, wazo langu kubwa ni kufanya biashara lakini kwa mkoa niliopo nashindwa nifanyaje, nimeshafanya research nyingi lakini naona kama nikupoteza pesa na muda. Option iliyobaki naona ni kusoma uhasibu open.
sema una busara ungelijibu vibaya ningejua IQ yako cha kufanya tafuta connection ya kuhamia maeneo yenye biashara na vyuo kwa ajili ya kusoma.

Na maanisha usipohama hilo eneo ukahamia sehemu zenye mzunguko wa hela kama Dar... utaenda kusoma ukimaliza utarudishwa huko huko pia hadi upewe IT au cheo chochote ni connection.

Tafuta connection ya uhamisho ama nenda kusoma ila weka akilini neno kuhama na connection.

ukiendelea kuwaza kufanyiwa re-cate utatumia nguvu kubwa halafu mwisho utakuja kukata tamaa maana mshahara ni mshahara tu hautoshi.

Nikupongeze kitu kimoja umeshagundua kuwa ajira ni utumwa. Neno mtumishi kwa mimi mwanalugha (a linguist PhD) limejificha kwenye maana ya msingi "mtu anayetumwa" yaani anayetumika kwa niaba ya mtu fulani ambaye anapata faida kukutumia anavyotaka.

Poor Brain intelligent businessman

Betting ni timing unatakiwa uwe makini sana Ili kupunguza lose na ndio biashara ninayoiona kwangu Bora maana unahitaji simu na vocha tu Mimi nataka mpaka namalizia huu mwaka niwe na pesa ya maana ila kama unaona kwako sio Bora jaribu biashara nyingine ila shule sikushauri unapoteza mda na pesa zako Mimi mpaka mda huu Nina 10 million betting pesa ipo ila inatakiwa uwe makini sana na usiwe na tamaa ya kuweka pesa nyingi sana utaumia
do not try at home my young bro. Usidanganywe na mtu kuhusu kubet you will hang yourself. "Usifanye jambo kwa hisia" mfano ukifanya kitu ukiwa na furaha au huzuni sana ni rahisi kuharibu"

zingatia haya bet hela ambayo hujaitilia maanani k.v uliyookota au semina lkn siyo mshahara.

By the way wanaobet ni matajiri.
 
sema una busara ungelijibu vibaya ningejua IQ yako cha kufanya tafuta connection ya kuhamia maeneo yenye biashara na vyuo kwa ajili ya kusoma.

Na maanisha usipohama hilo eneo ukahamia sehemu zenye mzunguko wa hela kama Dar... utaenda kusoma ukimaliza utarudishwa huko huko pia hadi upewe IT au cheo chochote ni connection.

Tafuta connection ya uhamisho ama nenda kusoma ila weka akilini neno kuhama na connection.

ukiendelea kuwaza kufanyiwa re-cate utatumia nguvu kubwa halafu mwisho utakuja kukata tamaa maana mshahara ni mshahara tu hautoshi.

Nikupongeze kitu kimoja umeshagundua kuwa ajira ni utumwa. Neno mtumishi kwa mimi mwanalugha (a linguist PhD) limejificha kwenye maana ya msingi "mtu anayetumwa" yaani anayetumika kwa niaba ya mtu fulani ambaye anapata faida kukutumia anavyotaka.

Poor Brain Intelligent businessman
Mi hapa nimekuelewa sana mkuu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Yaani leo sikupingi kabisa... Ajira ni utumwa wala si uwongo....
 
Mtu anayesema Kigoma hakuna biashara anastahili kuchapwa viboko. Wakongo na warundi wananunua sana vitu hapo. Tafuta kitu unachoweza kuki-master vizuri uwakamate hao wakongo na warundi badala ya wao kwenda Dar. Ningekuwa ndo ninaanza biashara ningeanzia Kigoma huko.
 
Sema iyo hela kuiweka bank tu ikae huo ndo ufala ss mpk unamaliza shule iyo milion 15 haina thaman ya milion 15 ya ss yaan hela ya tz inashuka thaman haraka sn nakwambiaje baada ya miaka 3 iyo milion 15 utaiona kama milion 5 ya ss dah ila bongo kuna watu wana shida kweli una milion 15 halaf unaenda kuweka bank ikae tu
Nikipata admissions kwenye miji mikubwa kama daresalam naweza kusoma huku nafanya biashara yote yanawezekana mkuu, nimefanya biashara hapo daresalam kwa mtaji wa 1.5m nitashindwa na million 15?
 
Mtu anayesema Kigoma hakuna biashara anastahili kuchapwa viboko. Wakongo na warundi wananunua sana vitu hapo. Tafuta kitu unachoweza kuki-master vizuri uwakamate hao wakongo na warundi badala ya wao kwenda Dar. Ningekuwa ndo ninaanza biashara ningeanzia Kigoma huko.
Sawa mkuu, ninaona wakifata sana nafaka
 
Back
Top Bottom