Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Mleta mada na wakenya wako waliokutuma kuja kuandika ujinga huu mmebanwa pabaya, tena katikati ya makalio. Mlikuwa mshazoea kwenda kuihadaa dunia kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya, na kwamba ziwa Nyasa linamilikiwa na Malawi. Dunia ya sasa sio ya kudanganyana tena.

Andikeni hata thread 10000 na IDs tofauti tofauti, kikubwa dunia imeshafahamu vivutio vyetu halisi ni vipi na mwenye kutaka kuthibitisha anakaribishwa. Wenye akili tulijua tu kwamba film hii itawaumiza wengi, hasa wale chawa wasiokuwa na moyo wa utaifa, na mabwanyenye wao.

Daah, Dudumizi bana...
 
Unadhani huo upande usiojulikana Sana unaweza kuvutia watalii wengi zaidi kuliko kuonyesha kuonyesha vivutio vinavyojulikana sana kama mbuga za wanyama ?
Sasa kama vinajulikana tayari kuna haja gani ya kuvitangaza tena? Watalii wengi wanaoacha kuja Tanzania wakaishia kwenda Kenya au Afrika ya Kusini ni kwa sababau huwa hawajui hali ya usalama Tanzania, siyo kwamba hawajui vivutio vyetu. Ukienda pale Youtube utaona video nyingi sana zinazoonyesha vivutio vyetu, na hii video ya The Royal tour imerudia vitru hivyo hivyo. Mwaka 2007 Kikwete alilipia video yenye maudhui hayo hayo kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kama CNN, kama hukuiona ni hii hapa
 
Paskali! Siku zimekuwa nyingi huko ughaibuni mshauri arudi. Andika "KWA MASLAHI MAPANA KWA TAIFA RUDI MAMA"
yeyote aliyeruhusu huyu awepo pale alifanya kosa kubwa sana!

sasa tunaanza kuelewa zile harakati za kuzuia asiguse kile kiti zilikua na mantiki sana, hafai
 
Write your reply...not for Bongo use Mkuu inautangaza utalii nje injee huko duniani wewe tulia...tu..
 
Nchi yetu ina watu milioni 65.. isipokuvutia wewe itawavutia watu 64,999,999.. hapo hujajumlisha watu wa nje.

Ahsante kwa kushiriki
 
Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.

Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.

Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.

Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania. Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.

Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa. Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.

NB:
Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman

Aksante kwa maoni yako na ya watoto wako. Nasi tukiiangalia tutatoa maoni na mtazamo wetu.

Lkn cha msingi ni kama hii filamu itaboresha ongezeko la watalii kuingia nchini.

Sasa kama vinajulikana tayari kuna haja gani ya kuvitangaza tena? Watalii wengi wanaoacha kuja Tanzania wakaishia kwenda Kenya au Afrika ya Kusini ni kwa sababau huwa hawajui hali ya usalama Tanzania, siyo kwamba hawajui vivutio vyetu. Ukienda pale Youtube utaona video nyingi sana zinazoonyesha vivutio vyetu, na hii video ya The Royal tour imerudia vitru hivyo hivyo. Mwaka 2007 Kikwete alilipia video yenye maudhui hayo hayo kwenye vyombo vya habari vya kimataifa kama CNN, kama hukuiona ni hii hapa
View attachment 2202175
Wakati huo,hao walionyeshwa walishaona.Wengine wamezaliwa ,nao waone mapya.
 
Kwani kuna mbuga mpya na wanyama wapya zaidi ya hao wa Kikwete?
Hujui kuna kitu kinaitwa,mabadiliko ya tabia nchi.Unafikiri eneo litabakia hivyo hivyo miaka yote.Linabadilika,na wanyama wananawiri na kupendeza,kila miaka ikienda mbele.
 
Saanane Island ipo ?, Je liwe jiji linalosemekana linacheza lipo ?

Hii issue I said it once and I will say it again ni more outlet na promo kwa Mtawala wa Nchi Kagame alifaulu hilo kujipa Promo huyu mama sijui kama hakuwa Camera friendly huenda hii ikaleta damage
 
yeyote aliyeruhusu huyu awepo pale alifanya kosa kubwa sana!

sasa tunaanza kuelewa zile harakati za kuzuia asiguse kile kiti zilikua na mantiki sana, hafai
Unafikiri akirudi ndo watoto wako watapata nafuu ya maisha, ikiwa we mwenyew mama yao ambae unajukumu la kuwatafutia watoto wako ugali, unashinda humu kuandika ushuzi ili tu upate Likes kutoka kwa wachangiaji hayawani. Wakati wewe unashinda hapa kuandika ushuzi ili uvune Likes za chawa wenzako, kuna wengine wanatumia muda huo kutengeneza pesa kwa ajili ya kesho yao na vizazi vyao bila kujali uwepo wa raisi.
 
Back
Top Bottom