Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Nilivyoona tu trailer ya movie ni kuonyesha mama anaendesha landcruiser nikajua kabisa hamna jipya
 
..Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.

..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.

..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.

..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.

..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.

..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.

..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.

NB:

..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
mkuu hata wewe kama unalipenda taifa lako unaweza ukaandaa tu filamu yako na hujaipenda wewe tu mbona sisi wengine tumeipenda mpaka tunaiangalia mara mbilimbili yaani inaonesha nikiasi gani huna uzalendo na nchi yako hivi ni vivutio gani vipya ulivyotaka vioneshwe? kunakipya kimejitokeza tena? wazungu walijuwa kilimanjaro iko kenya sasa wamejuwa iko tanzania na watakuja kwa wingi kuangalia ulitaka waonyeshe kipi unachokijua ni kipya?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkuu Mzee Mwanakijiji , hii filamu ni yao, walituomba watutengenezee, tukakubali, wametumia gharama zao, na sasa baada ya uzinduzi, wataendelea na biashara yao kurudisha gharama zao, huku sisi tukifaidika kutangaziwa utalii wetu bure bure.

Tena mbele ya safari, in future, mnaweza kuja kuwa surprised kukuta hata the main character, alilipwa tuu kama ma starring wengine wote wa movies nyingine zote!, the only difference, zile nyingine ni fiction movies, this is non fiction.

P
huyu jamaa ameandika ki chuki sana hayo yote hayaelewi mtu ukiwa na chuki na kitu hata akili unaziweka rehani mtoa mada hakuwa na uzalendo kaandika kwa chuki ya mtu fulani tu basi
 
mkuu hata wewe kama unalipenda taifa lako unaweza ukaandaa tu filamu yako na hujaipenda wewe tu mbona sisi wengine tumeipenda mpaka tunaiangalia mara mbilimbili yaani inaonesha nikiasi gani huna uzalendo na nchi yako hivi ni vivutio gani vipya ulivyotaka vioneshwe? kunakipya kimejitokeza tena? wazungu walijuwa kilimanjaro iko kenya sasa wamejuwa iko tanzania na watakuja kwa wingi kuangalia ulitaka waonyeshe kipi unachokijua ni kipya?
Mkuu usidanganyike na kiswahili. Tanzania ni nchi iliyo na muingiliano wa raia kutoka nchi mbali mbali zilizotuzunguka na zisizotuzunguka. Kwahiyo unawezakuta mleta mada ni mkenya, mnyarwanda, mganda au hata Mmalawi anaeishi nchini kwa ku copy life style ya watanzania na kujifanya mtanzania. Watu wa aina hii wamekuwa wakitumiwa sana na nchi zao za asili kuchafua taaswira ya taifa letu kupitia hizi siasa uchwara, uhuru wa kutoa maoni nk.
 
kwakweli mkuu nimeamini asante sana
 
..Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.

..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.

..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.

..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.

..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.

..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.

..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.

NB:

..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
'Royal Tour Film' as its name sounds is one of the graft malpractice we have ever experienced before, it will entirely benefit the production company rather than bringing financial relief to Tanzania. It has consumed a lot of financial resources and output has nothing to change the normal citizens' earnings other than being overburdened with taxi charges, the standard of life has abruptly hiked without intervention from the relevant authority while the lamenting 'wananchi' are in agony.

Tanzania has been hurled into a ditch that requires someone stronger to eliminate the crooks and devise a cross-sectional resilience due to the ongoing economic implications.
 
Jamaa alijua kila mtu anaweza kushikiwa akili kama alivyoshikiwa yeye na mabwanyenye wake. Tunajua fika kuwa maadui zetu wanatumia nguvu kubwa, na pesa nyingi kuwarubuni hawa vijana ili waje waharibu sifa za filam na nchi kwa ujumla kwa lengo la kuwavunja nguvu wengine. Lakini sisi wenye uchungu na taifa hili kamwe hatuwezi kuwaacha hawa chawa watambe au wachafue chochote.
Sawa sawa,kabisa,na huwenda pia hawa,wanaopinga kila jambo la maendeleo,sio watanzania.
 
Mkuu usidanganyike na kiswahili. Tanzania ni nchi iliyo na muingiliano wa raia kutoka nchi mbali mbali zilizotuzunguka na zisizotuzunguka. Kwahiyo unawezakuta mleta mada ni mkenya, mnyarwanda, mganda au hata Mmalawi anaeishi nchini kwa ku copy life style ya watanzania na kujifanya mtanzania. Watu wa aina hii wamekuwa wakitumiwa sana na nchi zao za asili kuchafua taaswira ya taifa letu kupitia hizi siasa uchwara, uhuru wa kutoa maoni nk.
Umesema kweli tupu.Wengi wanaopinga maendeleo ya Tanzania humu JF,sio watanzania.Chunguza,na utaniunga mkono.
 
kwa nini wasimtumie Diamond kutengeneza filamu kama hiyo maana Samia hauziki na lile liushungi
 
Ashakum si matusi, yani hiki anachosema mtoa mada ni ile tunasema analiwa mwingine kiuno unakata Wewe.
Hii filamu walengwa ni Wewe? Wewe tunahitaji kukuambia kuna mlima na serengeti?
Yani mchaga aliyeko Marangu aambiwe kuna mlima hapo nyuma yako unafikiri atavutiwa?

Tuwaachie walengwa wa filamu hiyo wapate burudani na wavutiwe kuja TZ, Wewe mmatumbi mwenzangu tuendelee na filamu za AZAM TV
 
Back
Top Bottom