Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Imetolewa na waandaji au walioshirikishwa ?Kwani wakitumia gharama zao ndio fedha haitumiki?.
Hiyo bilioni 7 ndio fedha iliyotumika kuandaa hiyo filamu.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetolewa na waandaji au walioshirikishwa ?Kwani wakitumia gharama zao ndio fedha haitumiki?.
Hiyo bilioni 7 ndio fedha iliyotumika kuandaa hiyo filamu.
P
Unadhani huo upande usiojulikana Sana unaweza kuvutia watalii wengi zaidi kuliko kuonyesha kuonyesha vivutio vinavyojulikana sana kama mbuga za wanyama ?Nitaiangalia kesho, ila hata kabla ya kuiangalia sikuwa nategemea la ajabu. Kuonyesha mbuga ni mambo ambayo yamashafanyika sana; kweli hii ilitakiwa ionyeshe upande ambao haujulikani sawasawa hasa usalama mitaani, huduma za dharura, na nightlife kwenye miji
Ulaya ipi hiyo isije ikawa unazungumzia Morogoro.Mwanamke anavua samaki! Sasa hiyo ni siasa kwani hata ulaya wanaovua samaki kwa ndoano hakuna mwanamke.
Ndio maana anko magu alilijua HiloHii filamu imeonesha mbuga zote na kila kivutio kilichopo nchini. Sema tu kama ilivyo ada vijana wa kitanzania mara nyingi huwa tayari kutumiwa na maadui dhidi ya nchi yao wenyewe kupitia kigezo cha utofauti wa kisiasa. Israel, New Zealand, Rwanda nk zimesharekodi filamu hizi za Royal Tour lkn kwa vile vijana wao wana mioyo ya utaifa, elimu na akili, basi ilikuwa ngumu maadui wa nchi hizo kuwatumia vijana wa mataifa hayo kuandika propaganda za ushuzi kama hizi tunazoshuhudia kwa vijana wetu. Nimeamini ni kwann mwl Nyerere alikataa siasa ya vyama vingi maana aliwaelewa tosha vijana wa kitanzania walivyo mbumbumbu katika kuchanganua mambo, na kwamba ni rahisi sana wao kuhadaika na pengine kupelekea kuiingia nchi yao wenyew machafuko kwa sababu ya faida ya walio/wanaowatuma. Maadui wa taifa mara nyingi wamekuwa wakipitisha ajenda zao kimya kimya kupitia huu unaoitwa uhuru wa kutoa maoni, wanasiasa nk.
Kweli kabisa mkuu wangNdio maana anko magu alilijua Hilo
Hata Pepsi tunaijuwa lakini hujiulizi kwanini kila siku wanatangaza hiyo hiyo Pepsi..Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.
..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.
..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Hakuna cha tofauti hata hizo nchi zingine pia viongozi wao walishiriki. Israel the royal tour 👇Tofauti tu ni kwa Rais wetu kushiriki hiyo tour otherwise hakuna kipya!
Sio lazima kila kitu kipendwe na wote,hata wewe wapo wasiokupenda na wapo wanaokupenda,huwezi kupendwa na watu wote...Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.
..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.
..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Kama haijakufurahisha ujuwe wewe siyo target audience. Endelea na kazi yako inayokupa shibe...Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.
..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.
..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Wanao sema hawajaona jipya hawajui nguvu ya matangazo ya biashara.Hii ni documentary ni tangazo la biashara.Hata Pepsi tunaijuwa lakini hujiulizi kwanini kila siku wanatangaza hiyo hiyo Pepsi
Labda lengo ni kuvutia sehemu ambazo accessible to many and can accommodate large crowds at once.
Kwenda kutangaza maajabu ya bonde gani huko sijui Mbeya wakati wakipata watalii 3000 kwa week kuwasafirisha shida hakuna tour operators wa kutosha, wala mahala sahihi pa kuwalaza wote at once.
So nadhani lengo ni kuwaonyesha vivutio muhimu vya kitaifa inaweza kuwa mundane kwetu lakini kwa watu wanaongalia kwa mara ya kwanza it’s an awe.
Otherwise sitegemei bi tozo aonyeshe story ya wanyamapori hizo documentaries ni for naturists lovers hawa ni automatic watalii bila ya kuangalia sinema kama ilivyo kwa wale wazungu wenye ambitions za kutembelea nchi nyingi duniani kabla ya kufariki.
Hayo makundi mawili juu ni wachache wengi ni wale ambao they need convincing on what to expect kuona wakija tanzania nadhani ndio lengo la hiyo documentary.
As for naturists documentary lovers Simba hana jipya, anaishi kwenye pack, Simba jike akijichuza kubeba mimba ya mwanaume nje ya pack anafukuzwa, akiwa peke yake jamaa wengine wakimsarandia kama ana watoto wanaviuwa, mara nyingi Simba jike akifukuzwa akikutana na mkiwa mwenzake wanaungana, au kama alikuwa na rafiki dada kwenye kundi atampigania harudi kwenye kundi kwa kumtafutia bwana ndani ya pack, akirudishwa atawinda huyo kuwafurahisha Simba wenzake in return anakuwa hana hofu ya usalama wa watoto wake akiwa ndani ya pack etc na drama za akina Simba.
Chui, tembo, fisi, nyati na wengine wote wana story zao, tofauti ya naturists documentaries kuna dramatisations of events (enhe itakuwaje sasa hapo simba kafukuzwa); hii ya bi tozo ni promotion documentary so it should be boring; compared to other documentaries aimed to educate on everyday life of wild animals.
Wapemba ndio walistaarabika kwanza,ndio ukaona hata Msumbiji kuna mji waitwa Pemba.Hata mahindi yalianza kulimwa Pemba,mbegu ilipotoka India,ndio ikasambaa kwingine.Na ndio chakula kikuu Afrika mashariki na kati.Tangu lini mpemba akajua mambo ya utalii wa mbuga, yeye mpeni mashua akavue samaki arudi nyumbani ale urojo
Umemaliza mjadala.Umemfahamisha vizuri.Wewe umezoea filamu za van Damme, utapendaje filamu za wanyama!?..hawajatengeneza kukulenga wewe
Na wao pia nasikia wanatoa filamu yao inayoonyesha Mlima Kilimanjaro na serengeti zipo kwao...Filamu inaitwa the Tour GuideMwenzio kapewa tapishi hili na mabwanyenye ya nchi jirani, ambayo yalitaka dunia iendelee kuamini kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya na ziwa Nyasa ni la Malawi. Hii film inakwenda kuwaumbua na kuwalaza njaa mabwanyenye wote. Maana dunia itaelewa ukweli kuhusu mmiliki halisi wa mlima Kilimanjaro, ziwa Nyasa nk. Hongera raisi wetu Samia.
Umesema kweli,sisi wananchi,sasa tumeelewa kwa nini,wanaumia kuhusu hii filam,kumbe walikuwa wanajitangazia vivutio vya Tanzania ni vya nchi nyingine.Mleta mada na wakenya wako waliokutuma kuja kuandika ujinga huu mmebanwa pabaya, tena katikati ya makalio. Mlikuwa mshazoea kwenda kuihadaa dunia kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya, na kwamba ziwa Nyasa linamilikiwa na Malawi. Dunia ya sasa sio ya kudanganyana tena. Andikeni hata thread 10000 na IDs tofauti tofauti, kikubwa dunia imeshafahamu vivutio vyetu halisi ni vipi na mwenye kutaka kuthibitisha anakaribishwa. Wenye akili tulijua tu kwamba film hii itawaumiza wengi, hasa wale chawa wasiokuwa na moyo wa utaifa, na mabwanyenye wao.
Hata hapa itazinduliwa, ArushaJokaKuu amezingua sana. Royal tour ingekuwa Kwa ajili ya wabongo si ingezinduliwa hapahapa Tanzania? Ililenga kutangaza vivutio vya nchi yetu nje ya mipaka ya Tanzania, na huko nje hivo vitu kwenye hiyo filamu ni vigeni kwao. MATAGA waache kudandia vitu visivyowahusu