Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hili ndio jibu alilopaswa kujibiwa huyo Mmalawi wa ndambaUlitakuwa urekebishe kama ulivyofanya. Wewe Mnyasa Tanzania inakuhusu nini?Ziwa Nyasa wanawake hawavui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio jibu alilopaswa kujibiwa huyo Mmalawi wa ndambaUlitakuwa urekebishe kama ulivyofanya. Wewe Mnyasa Tanzania inakuhusu nini?Ziwa Nyasa wanawake hawavui?
Kwahiyo nimeediti baada ya wewe kunukuu! Hiyo haiwezekani, waulize Mods.Ulitakuwa urekebishe kama ulivyofanya. Wewe Mnyasa Tanzania inakuhusu nini?Ziwa Nyasa wanawake hawavui?
I think I am Samia Suluhu Hassan.I think, imetawala kwenye sentesi za kiingereza za bi mkubwa
mkuu hata wewe kama unalipenda taifa lako unaweza ukaandaa tu filamu yako na hujaipenda wewe tu mbona sisi wengine tumeipenda mpaka tunaiangalia mara mbilimbili yaani inaonesha nikiasi gani huna uzalendo na nchi yako hivi ni vivutio gani vipya ulivyotaka vioneshwe? kunakipya kimejitokeza tena? wazungu walijuwa kilimanjaro iko kenya sasa wamejuwa iko tanzania na watakuja kwa wingi kuangalia ulitaka waonyeshe kipi unachokijua ni kipya?..Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.
..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.
..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
huyu jamaa ameandika ki chuki sana hayo yote hayaelewi mtu ukiwa na chuki na kitu hata akili unaziweka rehani mtoa mada hakuwa na uzalendo kaandika kwa chuki ya mtu fulani tu basiMkuu Mzee Mwanakijiji , hii filamu ni yao, walituomba watutengenezee, tukakubali, wametumia gharama zao, na sasa baada ya uzinduzi, wataendelea na biashara yao kurudisha gharama zao, huku sisi tukifaidika kutangaziwa utalii wetu bure bure.
Tena mbele ya safari, in future, mnaweza kuja kuwa surprised kukuta hata the main character, alilipwa tuu kama ma starring wengine wote wa movies nyingine zote!, the only difference, zile nyingine ni fiction movies, this is non fiction.
P
duuhTangu lini mpemba akajua mambo ya utalii wa mbuga, yeye mpeni mashua akavue samaki arudi nyumbani ale urojo
Mkuu usidanganyike na kiswahili. Tanzania ni nchi iliyo na muingiliano wa raia kutoka nchi mbali mbali zilizotuzunguka na zisizotuzunguka. Kwahiyo unawezakuta mleta mada ni mkenya, mnyarwanda, mganda au hata Mmalawi anaeishi nchini kwa ku copy life style ya watanzania na kujifanya mtanzania. Watu wa aina hii wamekuwa wakitumiwa sana na nchi zao za asili kuchafua taaswira ya taifa letu kupitia hizi siasa uchwara, uhuru wa kutoa maoni nk.mkuu hata wewe kama unalipenda taifa lako unaweza ukaandaa tu filamu yako na hujaipenda wewe tu mbona sisi wengine tumeipenda mpaka tunaiangalia mara mbilimbili yaani inaonesha nikiasi gani huna uzalendo na nchi yako hivi ni vivutio gani vipya ulivyotaka vioneshwe? kunakipya kimejitokeza tena? wazungu walijuwa kilimanjaro iko kenya sasa wamejuwa iko tanzania na watakuja kwa wingi kuangalia ulitaka waonyeshe kipi unachokijua ni kipya?
kwakweli mkuu nimeamini asante sanaMkuu usidanganyike na kiswahili. Tanzania ni nchi iliyo na muingiliano wa raia kutoka nchi mbali mbali zilizotuzunguka na zisizotuzunguka. Kwahiyo unawezakuta mleta mada ni mkenya, mnyarwanda, mganda au hata Mmalawi anaeishi nchini kwa ku copy life style ya watanzania na kujifanya mtanzania. Watu wa aina hii wamekuwa wakitumiwa sana na nchi zao za asili kuchafua taaswira ya taifa letu kupitia hizi siasa uchwara, uhuru wa kutoa maoni nk.
Nyerere ndio muasisi wa vyama vingiAcha utani bwana wewe! Yaani rais wa Israeli alikaa marekani zaidi ya nusu mwezi! Hata wa Rwanda hakukaa hivyo.
'Royal Tour Film' as its name sounds is one of the graft malpractice we have ever experienced before, it will entirely benefit the production company rather than bringing financial relief to Tanzania. It has consumed a lot of financial resources and output has nothing to change the normal citizens' earnings other than being overburdened with taxi charges, the standard of life has abruptly hiked without intervention from the relevant authority while the lamenting 'wananchi' are in agony...Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
..Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
..Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
..Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu nyingi zinazotangaza utalii wa Tanzania.
..Nilitegemea filamu pamoja na kuonyesha vivutio vinavyojulikana, ingetambulisha maeneo mapya ya vivutio vyetu vya utalii.
..Pia usimuliaji wa Rais Samia haukuwa wa viwango vya kuridhisha. Inawezekana filamu imeharakishwa kutolewa.
..Kuna baadhi yenu mtakereka sana na filamu hiyo. Naomba nisisema jambo hilo kwa sasa hivi.
NB:
..Nadhani tunaweza kuandaa filamu nzuri zaidi ya kutangaza utalii wetu. Wadau wa utalii wakae pamoja na kujifunza kutokana na mapungufu ya Royal Tour Tanzania.
cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige, Kichuguu, Kilatha, Phillipo Bukililo, Statesman
Labda wanajuana kwa vilemba!!!! Ha ha haaa!Sasa mleta mada hao uliowaquote ndio unataka wachangie mada yako maana wana uwezo wa kuchangia ama la??
Sasa kama ndio hivyo si muwe mnatumiana PM.
..kuna sehemu wamemuonyesha Maza amepanda boti na amevua samaki wakubwa kwelikweli.
Sawa sawa,kabisa,na huwenda pia hawa,wanaopinga kila jambo la maendeleo,sio watanzania.Jamaa alijua kila mtu anaweza kushikiwa akili kama alivyoshikiwa yeye na mabwanyenye wake. Tunajua fika kuwa maadui zetu wanatumia nguvu kubwa, na pesa nyingi kuwarubuni hawa vijana ili waje waharibu sifa za filam na nchi kwa ujumla kwa lengo la kuwavunja nguvu wengine. Lakini sisi wenye uchungu na taifa hili kamwe hatuwezi kuwaacha hawa chawa watambe au wachafue chochote.
Sisi watanzania tumeridhika,wewe usiye mtanzania,itakuuma sana.Nilivyoona tu trailer ya movie ni kuonyesha mama anaendesha landcruiser nikajua kabisa hamna jipya
Umesema kweli tupu.Wengi wanaopinga maendeleo ya Tanzania humu JF,sio watanzania.Chunguza,na utaniunga mkono.Mkuu usidanganyike na kiswahili. Tanzania ni nchi iliyo na muingiliano wa raia kutoka nchi mbali mbali zilizotuzunguka na zisizotuzunguka. Kwahiyo unawezakuta mleta mada ni mkenya, mnyarwanda, mganda au hata Mmalawi anaeishi nchini kwa ku copy life style ya watanzania na kujifanya mtanzania. Watu wa aina hii wamekuwa wakitumiwa sana na nchi zao za asili kuchafua taaswira ya taifa letu kupitia hizi siasa uchwara, uhuru wa kutoa maoni nk.
WEWE NDIYO UNAONA HAUZIKI LAKINI AMEUZIKA SANA NA HUJUI HATA MAANA YA ROYAL TOUR DIAMOND HAWEZI KUHUSIKA HATA KIDOGOkwa nini wasimtumie Diamond kutengeneza filamu kama hiyo maana Samia hauziki na lile liushungi
tukichangia tutaangaliaTukiiangalia, tutachangia.