Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.

Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+

Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.

Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai

Mr Justice.
 
Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.

Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+

Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.

Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai

Mr Justice .
Na ndio maana Hali iko hivi 👇

Screenshot_20220506-163547.png
 
Na ndio maana Hali iko hivi 👇

View attachment 2218818
Ngoja kwanza; kwa takwimu hizi ni kwamba kila Watanzania 100, 92 wanaamini katika waganga wa kienyeji; halafu twende mbele kidogo, according to mleta UZI (jambo ambalo ni la kweli kabisa ) ni kwamba Watanzania tupo 60M na wenye degree tupo 2M means wenye degree Tanzania ni only 3.3%; sasa ukija kwenye hizo takwimu za waamini katika Uchawi na waganga wa kienyeji maanake ni kwamba pia wenye degree wapo wanao amini katika UGANGA/UCHAWI as well and hence elimu ni kama haijabadiri kiviile mtazamo wa UCHAWI? Wafikirie wana siasa, hivi kuna ambae haamini katika mambo hayo kweli? Ukiwauliza, watakukatalia but huo ndio ukweli yaani. Wakibisha, tutachokonoa DATA zao
 
Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.

Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+

Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.

Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai

Mr Justice .
Mkuu issue sio tu kua na degree,issue ni kuitumia elimu yako katika kutatua matatizo yaliyoizunguka jamii yako na kuyatawala mazingira yaliyokuzunguka,

Kuibadili elimu katika kutatua matatizo ni muhimu zaidi,ubora wa elimu hupimwa kwa kuangalia matatizo yaliyo tatuliwa na hiyo elimu husika.
 
Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.

Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+

Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.

Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai

Mr Justice .
hela unayo au ndio wale wapiga mizinga?
 
Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.

Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+

Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.

Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai

Mr Justice .
mtoa mada tuliza wenge, umeanza na takwimu tunamaliza na takwimu.
Usisahau kuwa jumla ya waajiriwa serikalini na Sekta binafi ni makadilio ya 1m +. Na ikumbukwe pia waajiriwa hao wana elimu tofauti tofauti yani astashahada, stashahada, shahada na kuendelea.
Basi tuchukulie mfano kuwa waajiriwa wa Shahada na kuendelea ni asilimia kumi ya waajiriwa (1m+)
10% meani ni waajiriwa 100,000 ndio wenye shahada na kuendelea.
Maana yake ni nini? kwa takwimu yako ya watu 2m kuwa wanashahada inaonesha kuwa wengi ni jobless
2m - 100k = 1. 9m
Watu 1.9m wenye shahada hawana ajira, hii ni nusu ya idadi ya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Tanzania bara.

Shahada Bongo doesn't worth it.
 
Kwahyo hiyo Degree yako ndo umeandika uzi wa namna hii kweli? Ndo maana Mh Msukuma anawatukana kila siku..
 
Back
Top Bottom