DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
We unayo degree au wivu mkuu? Ni Aibu kufa bila degreeHizi hizi Degree za ustawi wa jamii na Kisanji
Na ndio maana Hali iko hivi 👇Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai
Mr Justice .
Usimsahau AgreyKatika hao wenye degree 2M+ na Mwijaku mpo nae.
Hawa Watz mil60+ unawaongelea hapa wote wako umri wa ujana??Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Ngoja kwanza; kwa takwimu hizi ni kwamba kila Watanzania 100, 92 wanaamini katika waganga wa kienyeji; halafu twende mbele kidogo, according to mleta UZI (jambo ambalo ni la kweli kabisa ) ni kwamba Watanzania tupo 60M na wenye degree tupo 2M means wenye degree Tanzania ni only 3.3%; sasa ukija kwenye hizo takwimu za waamini katika Uchawi na waganga wa kienyeji maanake ni kwamba pia wenye degree wapo wanao amini katika UGANGA/UCHAWI as well and hence elimu ni kama haijabadiri kiviile mtazamo wa UCHAWI? Wafikirie wana siasa, hivi kuna ambae haamini katika mambo hayo kweli? Ukiwauliza, watakukatalia but huo ndio ukweli yaani. Wakibisha, tutachokonoa DATA zao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Katika hao wenye degree 2M+ na Mwijaku mpo nae.
Mkuu issue sio tu kua na degree,issue ni kuitumia elimu yako katika kutatua matatizo yaliyoizunguka jamii yako na kuyatawala mazingira yaliyokuzunguka,Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai
Mr Justice .
hela unayo au ndio wale wapiga mizinga?Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai
Mr Justice .
mtoa mada tuliza wenge, umeanza na takwimu tunamaliza na takwimu.Vijana someni msisikilize propaganda Bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine Nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi Bado tupo wachache so hoja za kuwaponda wasomi hazifai
Mr Justice .
Babu wa babu zako alikufa bila kuwa na degree. Aibu imeanzia kwenye ukoo wenuWe unayo degree au wivu mkuu? Ni Aibu kufa bila degree
Kwahiyo wote tuna degree za ustawi wa jamii, kumbuka, kuna kozi degree zake ni miaka mitano, muwe na heshima kidogoHizi hizi Degree za ustawi wa jamii na Kisanji
Mkuu naona Tanzania imesecure first position kwenye wapiga ramli