Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana


Mkuu tafuta hela acha mawazo
 
Duuh kwamba hata Nigeria, Malawi au Uganda? tumewazidi Kwa imani za kishirikina? Nitakuwa wa mwisho maana Malawi nimekaa naijua vizuri Bado ni Primitive mode of life kabisa
Ndio hovyo, Mtanzania mtoto wake akifeli mtihani wa la saba anaenda kupiga ramli.
 
Muna mchango gani sasa kwa taifa lenu na hizo degree zenu?

au ndio wale miongoni mwa.....Eat At The Length Of Ur Rope
 
Tofauti ya msomi aliyekabidhi imani yake kwa mganga na alokabidhi maisha yake kwa sheikh/mchungaji ni nini?!
I’m curious 🤕
 
Cha muhimu pesa jeuza hio degree kuwa pesa utaeshimika sio kukaa na karatas ndan
 
Katika zote hizo za mchongo Mil.1.5...Kwa hiyo vijana tusome
 
Unamwambia nani sasa

Diamond, au Gachuma au Kishimba ?

Kwa kifupi Usomi siyo cheti kile mtu anachopata shuleni bali usomi ni maarifa ya kumsaidia mtu kuishi kwenye jamii.

Ukiona mtu anaishi maisha mazuri kukuzidi basi huyo kakuzidi elimu. Unaweza kuwa na cheti lakini maarifa hauna na bado unaishi kama wasiosoma na unaweza kutokuwa na cheti lakini una mbinu za kupata kila kitu unachokihitaji, hapo nani mwenye elimu.

Baada ya kukufahamisha maana halisi ya elimu hebu nieleze wasomi unadhani wako wangapi? je wewe uko wapi kwa wasomi kina diamondi au mjinga mwenye cheti tu
 

Mkuu, pengine kutokuwa na shahada kunafanya nishindwe kuchambua mambo.
Kwa hiyo thamani ya elimu inapimwa kwa idadi ya walioajiriwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…