Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
Nimewaambia wanakataa kunielewa alafu ni umri kama wangu. Wamekomaa wanataka pesa zao aisee sio poa kabisa mkuu.hakuna atakayekuelewa
Sina hulka za kisanii kwa maana hazina tija yoyote katika maisha yangu.Mkuu acha usanii,
Rudisha pesa ya watu.
Watu humu mmepinda yani watu mna maneno mnaweza chekesha hadi kiziwiPonapona yako wewe jamaa ni ukifika uwambie uzikwe pamoja na marehemu ukiongea vinginevyo utarudi hapa kusimulia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukifanikiwa kutoa hayo maelezo kwa wabongo na wakakuamini bila dot ya shaka...
Utakua nabii hujijui tuu..
Hata marehemu akisikia hayo maneno atafumbua mdomo, kwa ufupi hata ungesema umeangusha hio 50k yako tuu hamna atakae amini, halafu mbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi
Ukifanikiwa kutoa hayo maelezo kwa wabongo na wakakuamini bila dot ya shaka...
Utakua nabii hujijui tuu..
Hata marehemu akisikia hayo maneno atafumbua mdomo, kwa ufupi hata ungesema umeangusha hio 50k yako tuu hamna atakae amini, halafu mbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi
Laki tatu unaweka kwa Wallet!? Hiyo ni wallet au handbag!?Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Hata CCM wenzake?hakuna atakayekuelewa
Hela kwanza msiba baadae πJamani laki 3 inakaaje kwenye wallet?
Dogo unazingua ujue?π
Katoe hela kabatini ulikoficha urudishe hela ya msiba.
Pole na msiba, by the way, hela kwanza!
Everyday is Saturday.................................. π