Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Kama pesa si chakavu, 300K zinakaa vizuri sana katika wallet, unless kama wallet yako ni zile za vijana wadogo.
Pole mdogo wangu kwa kua umepotelewa wallet naimani na vitu vingi like ma id yamepotea fanya kwenda polisi upate lost report ya hivo vitu ikitaja mazingira uliopoteza na vitu ulivyopoteza kisha waletee wana wavione ndio mambo mengine yaanzie apo
 
Kama vipi njoo Goba uje uchimbe shimo dogo la chemba ya choo kuna nyumba ninajenga nataka kulitumia kuhifadhia maji nitakupa laki mbili na nusu. Kazi unaweza kuianza hata saa moja usiku mpaka saa kumi na mbili alfajiri nakulipa chako unaenda kusolve hilo soo
 
Back
Top Bottom