EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mwenye gari ikimshinda si tuaimendea tunampa laki5 tunaenda kukata screpa tunauza spares maana inalipa kuliko kuliuza hivyo lilivyoSijamaanisha aiuze at 800k, hapana angeiuza kwa bei affordable ili gari isiendelee kuharibika
Aisee kufa kufaanaπ πMwenye gari ikimshinda si tuaimendea tunampa laki5 tunaenda kukata screpa tunauza spares maana inalipa kuliko kuliuza hivyo lilivyo
Sijui imani ipi inaruhusu riba. Kwa uoande wangu kitu asichokidhiria mola wako hakina faida kwako. Unaweza ukafaulu duniani na akhera ukawa mweny khasara. Fanya kazi isiyo na mushkelhabari za asubuhi Jf people?
Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.
watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu.
Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya
Kwa kila shilingi elfu 10, irejeshe Sh 500 kila siku.
Mkopo utakaa siku 14.
Jana nimetoa elfu 40, after two weeks ilete Riba ya Tshs 28,000
Je nipo sahihi au najiumiza kwa kiwango nilichoweka?
Je nikipandisha kwa kila elfu 10 izae buku kila siku nitakosea?
Note: mteja wangu ni mama ntilie
Tunamsikilizia usione tumekaa kimya ukadhani hatua uchungu na 800K tunasubiri achoke zaidi tumshawishi jamaa aongeze bidii ya kumdai hala sisi wapambe utaenda kutoa offer kwa kupisha wakwanza anaenda na 350, wa pili anaongeza kidogo, wanne anakomaa watano anaenda na dau la chini kidogo,ππ hapo tunachocheaanayemda amkomalie. Lazima aachieAisee kufa kufaanaπ π
Hivi nchi za kiislam unauhakika hazikopeshi kwa Riba. Tanzania inadaiwa na Iran pesa ndefu kuliko china unadhani tunarudisha tulichochukua???Sijui imani ipi inaruhusu riba. Kwa uoande wangu kitu asichokidhiria mola wako hakina faida kwako. Unaweza ukafaulu duniani na akhera ukawa mweny khasara. Fanya kazi isiyo na mushkel
Jamani ya kaisari mpeni kaisariSijui imani ipi inaruhusu riba. Kwa uoande wangu kitu asichokidhiria mola wako hakina faida kwako. Unaweza ukafaulu duniani na akhera ukawa mweny khasara. Fanya kazi isiyo na mushkel
Hatuishi kwa kufwata nchi za kiislamu au waislamu tunaishi kwa kufwata quran na sunnahHivi nchi za kiislam unauhakika hazikopeshi kwa Riba. Tanzania inadaiwa na Iran pesa ndefu kuliko china unadhani tunarudisha tulichochukua???
Quran inaruhusu kuomba omba hela kwa wanaume kama sio waume zenu?Hatuishi kwa kufwata nchi za kiislamu au waislamu tunaishi kwa kufwata quran na sunnah
Sijaelewa unataka kuzungumzia nn maana havina uhusiano, aliekuomba pesa anajua kwa nn amekuomba and has nothing to deal with the quranQuran inaruhusu kuomba omba hela kwa wanaume kama sio waume zenu?
a.k.a vibomu na kudanga?
Kwaio we unaijua kuliko Iran na Saudia? Hawakopeshi wale?Hatuishi kwa kufwata nchi za kiislamu au waislamu tunaishi kwa kufwata quran na sunnah
Dini ya Mungu kwa viumbe wake na haikua kwa ajili ya wasaudi na wa iran.Kwaio we unaijua kuliko Iran na Saudia? Hawakopeshi wale?
Kwaio we unaijua kuliko Iran na Saudia? Hawakopeshi wale?
Wewe kama hutak mkopo kaa kmya dunia ishapotea hii hao wanaoshika dini ndio mtaan huku wanafanya mambo ya ajabu ata kwenye vitabu vya Mungu havipo, maduka ya kariakoo ukiwakuta utasema ni watu ila sasa vitu walivyoweka ndani sasa.Dini ya Mungu kwa viumbe wake na haikua kwa ajili ya wasaudi na wa iran.
Sorry sipo ku argue na wewe just take what u belive na mimi nichukue ninachokiamini.
Wapi nimesema nataka pesa yako? Kama watu wameamua kufanya makosa haina maana kuacha kukumbushwa na zaidi hupaswi kufwata hao unaosema washika dini unatakiwa kufwata what your creator has allowed and prohibitted u to do.Wewe kama hutak mkopo kaa kmya dunia ishapotea hii hao wanaoshika dini ndio mtaan huku wanafanya mambo ya ajabu ata kwenye vitabu vya Mungu havipo, maduka ya kariakoo ukiwakuta utasema ni watu ila sasa vitu walivyoweka ndani sasa.
Watu wana shida wacha wakope na kupata pesa ngumu siwez nikakupa pesa yangu ukae nayo mwez et irud hivyo hvyo kama riba dhambi TAFUTA YAKO yakwangu iogope kama ukoma.
baby mama hebu njoo nikukopeshe hapa laki 1 urudishe 170,000 baada ya wiki 2π πWapi nimesema nataka pesa yako? Kama watu wameamua kufanya makosa haina maana kuacha kukumbushwa na zaidi hupaswi kufwata hao unaosema washika dini unatakiwa kufwata what your creator has allowed and prohibitted u to do.
seems like una stress za maisha. May Allah make easy every burden thts troubling you.
Nimecheka Sana.Omba usikopeshe wanasheria
Audhubillahbaby mama hebu njoo nikukopeshe hapa laki 1 urudishe 170,000 baada ya wiki 2π π
wenye mafanikio makubwa dunian hapa wote ni wanyonyaji na hatujaona punishment hapa labda tutegemee kwa Mungu.HZO NI BIASHARA ZA UNYONYAJI MKUU,TAFUTA BIASHARA NYINGINE.MUNGU HAPENDI RIBA NA KAMA UKING'ANG'ANIA MUDA SI MREFU UTAKUJA KUJUTA MAJUTO MAZITO SANA.MWANZO UNAWEZA IKAKULIPA SANA ILA KUNA MAMBO YA AJABU KIUCHUMI UTAANZA KUYAONA MUDA SI MREFU UCHUMI WAKO UTABADILIKA GHAFLA NA UTAANZA KUONA MAUZA UZA HELA LUPOTEA,KUDHULUMIWA,NYUMBA KUUNGUA MOTO,MAUGONJWA YAN KILA ULICHOKIPATA KUPITIA HELA HIYO KITAYEYUKA NA UTAONEKANA KAMA CHIZI MTAANI JAPO WEWE MWENYEWE UTAJIONA MZIMA.
OGOPA SANA BIASHARA YENYE KITU NDANI YAKE KINACHOITWA RIBA/INTEREST utasaga meno na kufa hufi.
Nimeandika kwa herufi kubwa hifadhi haya maneno utakuja kuelewa vzr.