Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

trend ya wateja wangu waaminifu.

huyu anauza samaki na dagaa.
Screenshot_20220317-215305.png
 
Hivi nikiandika nimemwazima fulani sh. 100000, ila nimempa 50000 na tukakubaliana, kisheria imekaaje? Nikiandika nimemkopesha Ina bidi niwe na leseni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanya hii biashara ya kukopesha kabla ya kuacha kwa sababu za kiimani.

Ni biashara fulani inahitaji roho ngumu na kusimamia pale pale, ina vishawishi haswa kwa wadada.
We tembea kwenye principles zako tu,
Pesa yake tamu inakuja tu,unaweza ukawa unafunga msuli tu, pesa zinakuja kibarazani. ila ukikumbuka kuna mauti, kesho yangu na mambo mengi ya kiimani nikaipiga chini.
 
Watu wote waliofanya hii biashara wengi walitoboa si kidogo.
Ila inahitaji ukauzu uwe bandidu kweli. Miki sina guts za ubandidu ni biashata ambayo siwezi kuifanya
 
Ndio maana Yesu akasema ya kaisari mpeni kaisari. Na ya Mungu mpeni Mungu.

mimi nakopesha hadi hadi mama Mchungaji.

Screenshot_20220318-071501.png
 
Habari
Unawazo zuri la biashara, ila kama mtaalamu wa haya mambo inaonekana hii biashara sio endelevu na haitachukua mda utuifunga kwasababu ya kuishiwa au kupoteza Mtaji au gawio.

"Unatakiwa kuachana na hii biashara kwanza kama ukiweza paka utapo pata majibu ya haya maswali"

1. Nakopesa watu waaminifu. Je, nitatumia kipimo gani kujua nani ni mwaminifu?
Suggestions:-
Hapa unaweza tengeneza form ambayo wahusika watajaza majina ya watu ambao watakuwa "Wadhamana wa tabia njema" au unaweza sema " Character referee".
Hakikisha referee wote sio ndugu wa waombaji. Hii ni kwasababu kama ni ndugu wanaweza kusema uwongo ili tu kusaidia ndugu yake kupata pesa.
Pili unatakiwa kujiuliza, Kwa nini huyu mtu ameandikwa kama referee? Je kuna faida yeyote ya referee atapata kupitia mwombaji kupata mkopo? Kwa nini amendikwa kuwa referee?

2. Ninakopesa pesa bila dhamana. Je, ikatokea mtu akashindwa kulipa au akaamua kutokulipa, nini nitafanya kupata pesa yangu?
Suggestions:-
a/Hapa unaweza kwenda polisi, lakini inaweza kuwa mda utao poteza na gharama nyingine za mahakamani zinaweza kuwa kubwa kuliko mkopo. Hii inaweza kuwa sio option nzuri

b/ Unaweza tumia Insurance. Ila kwa sababu unafanya vitu "casual" au sio rasmi sidhani kama watakubali kukupa insurance. Hii inaweza kuwa sio option. Ila unaweza kufuatilia kwa uzaidi.

Jaribu kujibu hayo maswali hapo Juu.

Je biashara inatija?

Kama unatoa Tshs40,000/= na unategemea kupata Tshs 28,000 baada ya wiki mbili. Hii inamaana utapata faida 70%(Tshs 28k/Tshs 4k). Lakini, upande wa pili una risk ya kupoteza 100% au Tshs 40,000.

Watu wa Bank, wanatoza riba ya 6% paka 15% kwa mwaka. Hii unaweza kusema ni kati ya 0.0023% paka 0.0057% kwa week mbili.

Wakati wenzako wanatoza riba ya chini ya 1% kwa mda wa wiki mbili, wewe unatengeneza asiliamia 70.Kwa haraka unaweza kuona "red flag"

Utapata faida Kubwa, kwasababu umekubali au upo tayari kupata hasara kubwa. Hii ni tabia mbaya kwenye maswala ya fedha. Hii inamaana leo unaweza kupata faida, na kesho ukapoteza pesa yote.

Asante.
Mtaani Mambo hayako hivyo , ndio shida ya Nyie wasomi uchwara. Huku mtaani kwetu Kuna watu wanakopesha kwa asilimia 50 kwa mwezi. Na mkataba mnaingia akizingua unauza collateral yake
 
Watu wote waliofanya hii biashara wengi walitoboa si kidogo.
Ila inahitaji ukauzu uwe bandidu kweli. Miki sina guts za ubandidu ni biashata ambayo siwezi kuifanya
Hata mimi ilikuwa inaniende fresh tu, ila mambo ya kiimani yaliponiingia nikaipiga chini.

Tena ubandidu haswa, ni udhulumati wa wazi wazi, mie ilikuwa sikukopeshi bila kuweka kitu bondi, tena naangalia thaman ya kitu chenyewe kwa wakati unachukua mkopo, vitu kama nyumba, hati, viwanja, sijui kadi ya gari na pikipiki, nilikuwa sichukui, nachukua vitu vinavyohamishika, vinakuja kukaa mtaani kwangu. Tunaingia mkataba, baada ya muda fulani, usipolipa kitu kinakuwa changu, wengi muda ulikuwa unaisha, sasa nifanyacho, namwambia alipe ile riba, kisha tuanze upya mwezi mwingine, mfano nimempa milioni kwa mwezi inabidi arudishe milioni na laki 3, mwezi ukiisha hana hiyo pesa, basi anipe laki 3, kisha tunarenew mkataba upya, namdai tena milioni na laki 3. Unakuta mtu anarenew mara 3 mpaka 4, kama kaweka gari yake, hapo naitembelea, nikiombea dua nisipate nayo majanga [emoji23]
 
Kweli hii ni noma, lazima upige ela.
Ila kuna watu wajanja, kuna maza mmoja alikuwa anafanya hii biashara alikuwa ana mtaji zaidi wa mils 200. Kwake kulikuwa kumejaa magari ya kutosha yamewekwa bond. Viwanja vya watu walioshindwa lipa anavyo vingi yani yule maza ana viwanja visivyo na idadi.
Kuna mmoja aliweka nyumba sijui akashindwa lipa maza akaipiga bei, we akampeleka mahakamani maza alipigwa ndani akakimbia jiji akarudi mkoa. Baadae wakaja malizana juu kwa juu.
Sasa sijui kipengele gani kilichomweka ndani maana alikuwa kasajiliwa na alikuwa ana mikataba.
Ila haya mambo ukikutana na mjanja anakuzingua, maana mimi nina mtu wangu wa karibu alikopa bank akashindwa lipa mkopo wakataka uza nyumba akaweka zuio wakaenda mahakamani na akawashinda na akawadai tena ela wakamlipa 🤣
 
Kweli hii ni noma, lazima upige ela.
Ila kuna watu wajanja, kuna maza mmoja alikuwa anafanya hii biashara alikuwa ana mtaji zaidi wa mils 200. Kwake kulikuwa kumejaa magari ya kutosha yamewekwa bond. Viwanja vya watu walioshindwa lipa anavyo vingi yani yule maza ana viwanja visivyo na idadi.
Kuna mmoja aliweka nyumba sijui akashindwa lipa maza akaipiga bei, we akampeleka mahakamani maza alipigwa ndani akakimbia jiji akarudi mkoa. Baadae wakaja malizana juu kwa juu.
Sasa sijui kipengele gani kilichomweka ndani maana alikuwa kasajiliwa na alikuwa ana mikataba.
Ila haya mambo ukikutana na mjanja anakuzingua, maana mimi nina mtu wangu wa karibu alikopa bank akashindwa lipa mkopo wakataka uza nyumba akaweka zuio wakaenda mahakamani na akawashinda na akawadai tena ela wakamlipa [emoji1787]
Duh!! Hiyo kali[emoji23], kama alikuwa kasajiliwa kweli, sijajua maza alifeli wapi, hapo ni suala la kuwa sungura katika vipengele vya mkataba ukilega kidogo mtu anakupa za uso, ukijua hivi, wenzio wanajua vile.
 
Wa bank huyo yani aliwapiga kwenye vipengele vidogo, ile ilikuwa matrimonial home, mkewe sijui hakushirikishwa, kuna sijui malipo ya stamp na fomu gani sijui hazikujazwa na kupelekwa sijui halmashauri, kwenye mkataba tarehe ya kuanza mkopo hawakuweka ila walisema kuanzia leo (jamaa anawauliza leo ni lini).
Yani kuna vitu vidogo vidogo vikafanya mkataba kuwa void.
Baada ya hapo sasa, akawafungulia mashtaka kuwa mkewe kapata mastress na kadhalilishwa anataka wamlipe.🤣🤣
 
Kuna jamaa kama mchawi
Alichukua mkopo wa million 300 benk.akaja kusema Kashindwa kulipa wakaja kuchukua biashara yake ya million 100
Wa bank huyo yani aliwapiga kwenye vipengele vidogo, ile ilikuwa matrimonial home, mkewe sijui hakushirikishwa, kuna sijui malipo ya stamp na fomu gani sijui hazikujazwa na kupelekwa sijui halmashauri, kwenye mkataba tarehe ya kuanza mkopo hawakuweka ila walisema kuanzia leo (jamaa anawauliza leo ni lini).
Yani kuna vitu vidogo vidogo vikafanya mkataba kuwa void.
Baada ya hapo sasa, akawafungulia mashtaka kuwa mkewe kapata mastress na kadhalilishwa anataka wamlipe.[emoji1787][emoji1787]
 
Hii biashara ngumu sana kuna jamaa yangu kamkopesha mtu 2M jamaa kaweka rehani Brevis na Kadi yake hadi sasa ni miezi8 gari ipo uani kwani na jamaa alilipa 1.2M zilizobaki anasema hana na ipo siku atalipa. Unamfanyaje mtu kama huyu utauza gari kwa laki8 na mnafanya kazi field moja?
Hakuna biashara nyepesi mkuu
 
Back
Top Bottom