Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Mtoto wa kiume unalilia penzi wakati wachuchu wapo wengi...

Mchuchu akizingua unamshusha cheo, unatafuta mchuchu mwingine unampandisha cheo toka just a friend to a girlfriend...
Jambazi mzoefu!
 
MAJI ya kunde ndio nini sema ni mweusi acha wenge[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] yani ni mweusi lakini sio kama mkaa
 
Akili kwake Sina Sasa nitaituliza vipi..[emoji28]

Aisee sio kwa hiyo avatar [emoji23]

Hujawahi kuwa upande wangu..[emoji28]
Kwasasa unaongozwa na hisia... Ni hatari kwa mahusiano
 
Ouyaaaa kumbe una degreeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaombe kazi kaka achana na mapenziiiii
 
MAJI ya kunde we unaijua rangi yake? [emoji849]
Ukichemsha kunde jikoni, yale maji yakianza kubadilika rangi. Hiyo rangi ndo inaitwa maji ya kunde kwa lugha yetu hii ya kiswahili
 
Jamaa kuna Mambo mengi ya kuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…