Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Mtoto wa kiume unalilia penzi wakati wachuchu wapo wengi...

Mchuchu akizingua unamshusha cheo, unatafuta mchuchu mwingine unampandisha cheo toka just a friend to a girlfriend...
Jambazi mzoefu!
 
MAJI ya kunde ndio nini sema ni mweusi acha wenge[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] yani ni mweusi lakini sio kama mkaa
 
Akili kwake Sina Sasa nitaituliza vipi..[emoji28]

Aisee sio kwa hiyo avatar [emoji23]

Hujawahi kuwa upande wangu..[emoji28]
Kwasasa unaongozwa na hisia... Ni hatari kwa mahusiano
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.😥

Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama..😥
Ouyaaaa kumbe una degree😅😅😅😂😂😂😂 kaombe kazi kaka achana na mapenziiiii
 
MAJI ya kunde we unaijua rangi yake? [emoji849]
Ukichemsha kunde jikoni, yale maji yakianza kubadilika rangi. Hiyo rangi ndo inaitwa maji ya kunde kwa lugha yetu hii ya kiswahili
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.[emoji26]

Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama..[emoji26]
Jamaa kuna Mambo mengi ya kuombea
 
Back
Top Bottom