Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa nyingine sawa ila hapo kwenye madela mmh!Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele!,kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu Sasa sijui itakuwaje!. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpk hivi Sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda Kama jana na zaidi ya leo!.[emoji26]
Sifa zake ni
Kapole ila kazururaji
Hakanywi bia ila kanaonja
Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.
Tuombeane tu tuvuke salama..[emoji26]
😂🤣🤣weee komaa unataka nipigwe na baby wako anayependa kuvaa madera🤣Nishakukataza kuniita kaka! Sitaki uninyime mie haya tengua kauli haraka niite baby...😊
Hamna ata. Mm pia kuna mda nina umia kama wengne, kuna mda nakosea kama wengne. Sema kuna mtu mmoja huyo ndio alinifanya nikajua hiv vitu vilivyo na hakuna kinachoshindikana juu ya mapenzi yenye upendoMkuu unanyota tatu za haya mavitu na yaonyesha hata moyo wako ushaota sugu..
He he! Mi Sina usemi nakomaa na Madera wangu..😅Hamna ata. Mm pia kuna mda nina umia kama wengne, kuna mda nakosea kama wengne. Sema kuna mtu mmoja huyo ndio alinifanya nikajua hiv vitu vilivyo na hakuna kinachoshindikana juu ya mapenzi yenye upendo
Kwa lugha nyepesi huyo mwanamke mswahili
Unanitisha kwani🤣Ukinikataa tu unajua sinaga subira nitaenda kukushughulikia kinyumbani sasa! So kubali mapema..😊
Eee komaa nae hilo ni chaguo lako unaweza mbadirisha kutoka kwenye madela had jumpsuitHe he! Mi Sina usemi nakomaa na Madera wangu..😅
Amen🤣🤣 Sema emeni
Mweusi ni mkaa mama! Na wenge siachi..😅MAJI ya kunde ndio nini sema ni mweusi acha wenge[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitashukuru lily... Lakini nawewe ujiombee Sasa usijisahau si unaelewa tena..😉usijali,binafsi ninakuombea 😂
Hahahaha, tatizo hili hapakanapenda kuvaa Madera
Naelewa😄Mweusi ni mkaa mama! Na wenge siachi..😅
Nitashukuru lily... Lakini nawewe ujiombee Sasa usijisahau si unaelewa tena..😉