Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
safi sana...hata baba yako anamla mke wako hivyo hapo ngoma ni droo! endelea tu!I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Kumbuka thread ya boom ipo kwenye jukwaa la chit chat. Nime-chit chat tu kule. Hakuna ukweli kule. Hapa tunajadili mkasa wa kweli ulionikuta. Usituchanganyie mada hapa.Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA yako iko juu sana,,, mara hii umeoa na umekula mama mkwe? :confused2:
Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA yako iko juu sana,,, mara hii umeoa na umekula mama mkwe? :confused2:
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
I'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Mkuu lengo langu ni kuacha. Najua sio vizuri ila tatizo ni huyo mama mkwe. Ananipa majaribu mazito sana. Sio rahisi kuyakwepa !Kweli duniani kuna wajinga wengi.Sasa hapo unataka ushauri gani,kwamba hujui ulichokifanya ni uovu au.Kijana, matatizo yako ni makubwa mno,yaani umetembea na mama na mtoto,tena mtoto akiwa mkeo!Laana na matatizo makubwa yako mbele yako,unless you repent.Make no mistake about it,lazima huyo the so called mama mkwe wako ambae kwangu ni malaya, from now on ata-behave differently,na hatimaye mkeo atajua.Uliko siko,acha mchezo huo mchafu,ambao utaharibu familia yako kabisa.
Hapa itapendeza sana mkifanya ka foursome hivi:
Wewe, ma'mkwe, mkeo na baba'ko. Raha kweli!
The way forward mwite na mkeo mfanye threesome.....hata ukiacha umeshaharibu sasa unaomba ushauri wa nini? Endeleeeeeeeea si wote wawili, wewe na Mkweo ni zero brain? Mimama mingine bhana....si akatafute wazee wenzie? Imenikera sana sio siri. Kama hutaki threesome, fukuza mkeo uoe Mama Mkwe au wawe wake wenza...nyambafuI'm not a firecrunch. She wants it. I have given him what she deserves to get. Way foward please.
Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Kwani balaa mara ngapi tena mkuu? You have messed your marriage for sure, STOP the affair with the finality of a man who is sad to have betrayed his loving wife! If the mother in law doesnt understand, you tell her that the matter will be made known to the daughter! and mean it
Pray hard for strength to keep off that area please no excuses!
Sio laana mkuu. Majaribu yake yamenishinda!