Aah ngoja nile ubwabwa kidogo nitakukuta mbeleJitahidi tu mwenza. Tupungue kidogi halafu tuanze kula ubwabwa kwa raha zetu. Mtu atakaeniwekea ubwabwa na samaki wa nazi naweza msomea albadir kwa kunirudisha nyuma
. Shauri ako mwenzio natafuta bikin body.Aah ngoja nile ubwabwa kidogo nitakukuta mbele
Km12 kila siku?!
Umetisha...
nitajitahidi nianze mapema iwezekanavyo....kabla ya mwezi wa pili ikiwezekanaWeka lengo mwaaka huu
Dah!! Poa poa kiongozi., siku ukiibuka mazingira haya unaweza kunicheki pia.Yeah...wilaya hio
12 jumla au ni 12 kwa 24!?Mie nilanza kukimbia km 3 kila siku asbh saizi naenda mpaka km 12. najiona fiti sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jitahidi tu mwenza. Tupungue kidogi halafu tuanze kula ubwabwa kwa raha zetu. Mtu atakaeniwekea ubwabwa na samaki wa nazi naweza msomea albadir kwa kunirudisha nyuma
Unajua ubwabwa lakini ulivyo mtamu halafu mimi nakula vikutu vya ajabu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]