Nimeanza Mwaka kwa Mazoezi

Aisee hata mimi nimedownload Boot campy Physical exercises za Billy blanks naenda nae jino kwa jino mpaka raha.Nimejikuta hadi performance kitandani imeongezeka
 
Aisee hata mimi nimedownload Boot campy Physical exercises za Billy blanks naenda nae jino kwa jino mpaka raha.Nimejikuta hadi performance kitandani imeongezeka
Ha ha ha ukitaka m-bongo afanye kitu mwambie kinaongeza nguvu za kiume!
 
kabisaaa!
nashukuru kwa kumueleza hilo maana hiyo diet yake ilinishtua kidogo
 
Mi nilishangaa kuna mzungu hapa jirani mzee kila siku ana ratiba ya kukimbia mbio mimi bado kijana sioni umuhimu wa mazoezi
Wewe subiri mpaka daktari akwambie. I hope it wont be too late.
 
Inaitwaje, maanake mimi huwa naangali muda ninaokimbia tu si umbali.
Inaitwa endomondo. pia kuna nyingine inaitwa My fitnesspal hii my fitnesspal itakusaidia sana ku monitor chakula kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…