Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ukitaka m-bongo afanye kitu mwambie kinaongeza nguvu za kiume!Aisee hata mimi nimedownload Boot campy Physical exercises za Billy blanks naenda nae jino kwa jino mpaka raha.Nimejikuta hadi performance kitandani imeongezeka
kabisaaa!Mzigua usiache kula kabisa utajiumiza, afadhali kula something light ama matunda usiku badala ya kwenda kavukavu. Uki skip meals unasikia njaa halafu unapokuja kula unajikuta unakula sana ili kufidia..
Trick nyingine nzuri ni kusogeza muda wa dinner, uwe mapema kidogo badala ya too late.
ndio mkuu hatimaye nimeanza leo asubuhi...Mkuu umeanza?
hahaha hii ni kweli tupu..Ha ha ha ukitaka m-bongo afanye kitu mwambie kinaongeza nguvu za kiume!
shukrani.Safi sana. Leo nimepumzika. Kesho naendelea.
hakikaInatosha kwa afya.
Yap yap, watu hawajui tu
Inaitwa endomondo. pia kuna nyingine inaitwa My fitnesspal hii my fitnesspal itakusaidia sana ku monitor chakula kwa sikuInaitwaje, maanake mimi huwa naangali muda ninaokimbia tu si umbali.
Hahaaa eti moyo wangu bado tineja, why unasema hivi mamiiMito ushaafika 50? Moyo wako bado tineja.
ndio mkuu hatimaye nimeanza leo asubuhi...
nategemea jioni pia niupashe mwil tena.