Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

Mabinti wa kazi mnafanyiaga nini mbona hawadumu mjumbani kwenu????

Maana naona kutokudumu mabint imekuwa kilio cha wengi.
 
Naona umeamua kujisombea LIKES za mashangazi kimasihara...
 
Mabinti wa kazi mnafanyiaga nini mbona hawadumu mjumbani kwenu????

Maana naona kutokudumu mabint imekuwa kilio cha wengi.
Wakipendeza wamama wanawafukuza wakihofiwa kupandishwa cheo kutoka Mke mpaka kuwa Mke Mkubwa.
 
Dish washing machine mbona zipo kibao?
 
Kupika naweza saidia ila hizo zingine aisee hapana. Yaani nazionga ngumu mno hasa kuosha vyombo na kudeki nyumba.
 
asee inafanyaje kazi hiyo mkuu nimchukulie wife !!
Mkuu hebu Google "Dish Washer Machine"...

Utachagua mwenyewe. Mpende mkeo kwa kumpunguzia majukumu. Ya kitandani yatafanyika kwa ufanisi uliotukuka...
 
Siku akikwambia ukune nazi ndo utaelewa kwanini wazee wa zamani walikuwa hawajipi majukumu ya kimama. JOKE!

Msaidie maramoja moja tu, ila usifanye ndio kazi zako za kila weekend ukiwa home.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ongera mkuu! Ila akili kumkichwa hawa wanawake unaweza kufanya kama kumsaidia lkn itafika muda ataona huo ndio wajibu wako so sio kila siku ndio umsaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…