mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeamua kujisombea LIKES za mashangazi kimasihara...Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara.
Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini.
Leo niliamka saa kumi na moja alfajiri, maza house kuamka kakuta kamba zimejaa nguo zangu, zake na za watoto.
Mtori wa watoto upo kwenye chupa na chai yetu pia ipo tayari.
Kwa kweli nimeona jinsi mama watoto alivyoamka Kwa bashasha!
Rai yangu Kwa wanaume tufanye kazi za nyumbani kama sehemu ya majukumu hasahasa kipindi hiki ambacho binti wa kazi hawakai.
Hii pia itasaidia kuwavuta watoto wajue wewe kama baba umewahangaikia.
Wakipendeza wamama wanawafukuza wakihofiwa kupandishwa cheo kutoka Mke mpaka kuwa Mke Mkubwa.Mabinti wa kazi mnafanyiaga nini mbona hawadumu mjumbani kwenu????
Maana naona kutokudumu mabint imekuwa kilio cha wengi.
Dish washing machine mbona zipo kibao?Msifanye kazi za ndani zinachosha sana nunueni vifaa vya kurahisisha kazi !! Mfano mashine ya kufulia , aache kutumia mkaa na kuni kwenye kupika tumieni gesi na umeme , Rice cooker , multi cooker , Pressure cooker , yaan hadi za kukaanga na kuchoma vitu !! sijaona tu mashine ya kuosha vyombo ila nyingine zote zipo tena kwa bei nzuri !! mpaka vikaango vya chapati ya hadi unga wa ngano siku hizi hatukandi ni mashine wewe kazi yako ni kuchanganya viamba upishi basi
Kazi yenu iwe kupanga vitu tu ndani na msisahau kufanya mazoezi ya mwili!!
Kupika naweza saidia ila hizo zingine aisee hapana. Yaani nazionga ngumu mno hasa kuosha vyombo na kudeki nyumba.Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara.
Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini.
Leo niliamka saa kumi na moja alfajiri, maza house kuamka kakuta kamba zimejaa nguo zangu, zake na za watoto.
Mtori wa watoto upo kwenye chupa na chai yetu pia ipo tayari.
Kwa kweli nimeona jinsi mama watoto alivyoamka Kwa bashasha!
Rai yangu Kwa wanaume tufanye kazi za nyumbani kama sehemu ya majukumu hasahasa kipindi hiki ambacho binti wa kazi hawakai.
Hii pia itasaidia kuwavuta watoto wajue wewe kama baba umewahangaikia.
asee inafanyaje kazi hiyo mkuu nimchukulie wife !!Dish washing machine mbona zipo kibao?
Mkuu hebu Google "Dish Washer Machine"...asee inafanyaje kazi hiyo mkuu nimchukulie wife !!
Kazi kweli kweliWakipendeza wamama wanawafukuza wakihofiwa kupandishwa cheo kutoka Mke mpaka kuwa Mke Mkubwa.
😂😂Kupika naweza saidia ila hizo zingine aisee hapana. Yaani nazionga ngumu mno hasa kuosha vyombo na kudeki nyumba.
Ongera mkuu! Ila akili kumkichwa hawa wanawake unaweza kufanya kama kumsaidia lkn itafika muda ataona huo ndio wajibu wako so sio kila siku ndio umsaidie
[emoji23][emoji23]Ili kupata ajira kwa urahisi ni vzuri kuanza kwa kujitolea