Adiya5
Member
- Jun 5, 2025
- 92
- 227
Habari zenu Watanzania wenzangu,
Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa nimebadili jina ili tuongee lugha moja,
Wale maboss zangu waliotaka kunisponsor kwenye usafiri wa ndege karibuni sana msitishwe na maneno ya waja, na soon nataka niverify akaunti yangu,
#Bado sijapanda ndege, nisaidieni nipande ndege