Nimebadili jina kutoka Bheka hadi kua Adiya ili kuondoa sintofahamu

Nimebadili jina kutoka Bheka hadi kua Adiya ili kuondoa sintofahamu

Utajua tu mdogomdogo, Kiingereza na madarasa wala havina uhusiano. Kuna wasiojua kusoma wala kuandika lakini wanaongea Kiingereza kwa ustadi mkubwa na wanakielewa kwa ufasaha kabisa.
Kiingereza ni lugha tu kama Kimakonde na Kinyaturu.
Ungenielewesha kuliko kunisimanga
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni hazina ya taifa na kielelezo cha uongozi wa kisasa unaojengwa juu ya hekima, uvumilivu na maono ya mbali. Ni kiongozi ambaye anasimamia misingi ya haki, usawa na maendeleo ya watu wote bila ubaguzi. Ujasiri wake
 
Niliwasiliana na viongozi wa JamiiForum wakanielekeza jinsi ya kubadili jina langu lakini ilibidi nisubiri utimie mwezi mmoja ndipo niweze kubadili, mimi ni mwanachama mpya
Ulikuwa na shida gani mpaka usubiri mwezi? Mbona una edit na kusubiri baada ya muda inabadilika
 
Ulikuwa na shida gani mpaka usubiri mwezi? Mbona una edit na kusubiri baada ya muda inabadilika
Nadhani hili swali tungewauliza viongozi wetu wa huu mtandao mie sina uzoefu au jaribu sasa hivi kuedit jina lako halafu nambie wamesemaje
 
Kwahyo ulitaka tusiokua tunajua kama mimi tujue kwamba wadau JF walikuita Bakari?
 
Uku wa kukupandisha ndege hamna ila wa kuichapa na kukupa ela tupo
Nakuja PM
 
Bakari acha mambo yako
Amekataa kuitwa hivyo! Heshimu hisia zake basi tafadhali! Vipi kama ungefanyiwa hivyo wewe?

Kama una hela ya kumpandisha ndege fanya hivyo vinginevyo bora upite kimya kimya!!

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza!!
 
Nadhani hili swali tungewauliza viongozi wetu wa huu mtandao mie sina uzoefu au jaribu sasa hivi kuedit jina lako halafu nambie wamesemaje
Inawezekana, ukiingia kwenye profile yako, unaenda hapo palipoandikwa change
Screenshot_20250706-163516.png
 
Ungekuwa mwanamke ningekupeleka kizimkazi kwa ndege
 

Attachments

  • Screenshot_20250706_164629_Chrome.jpg
    Screenshot_20250706_164629_Chrome.jpg
    73 KB · Views: 20
Amekataa kuitwa hivyo! Heshimu hisia zake basi tafadhali! Vipi kama ungefanyiwa hivyo wewe?

Kama una hela ya kumpandisha ndege fanya hivyo vinginevyo bora upite kimya kimya!!

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza!!
Ahsante kwa kunilinda, umekua muungwana sana Elisha,
Uzidi kubarikiwa
 
Niliwasiliana na viongozi wa JamiiForum wakanielekeza jinsi ya kubadili jina langu lakini ilibidi nisubiri utimie mwezi mmoja ndipo niweze kubadili, mimi ni mwanachama mpya
Alafu kweli hii account yako ni mpya
 
Back
Top Bottom