Umebadili jina ili upande ndege😄😄Habari zenu Watanzania wenzangu,
Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa nimebadili ili tuongee lugha moja,
Wale maboss zangu waliotaka kunisponsor kwenye usafiri wa ndege karibuni sana msitishwe na maneno ya waja, na soon nataka niverify akaunti yangu,
#Bado sijapanda ndege, nisaidieni nipande ndege
Afadhali umekula ban maana unasumbuaI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Kwakweli 🤣Afadhali umekula ban maana unasumbua
Transgender or just simply a gay/lesbian?Habari zenu Watanzania wenzangu,
Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa nimebadili ili tuongee lugha moja,
Wale maboss zangu waliotaka kunisponsor kwenye usafiri wa ndege karibuni sana msitishwe na maneno ya waja, na soon nataka niverify akaunti yangu,
#Bado sijapanda ndege, nisaidieni nipande ndege
Amebadili jina na jinsia ili apande ndege, this new generation never ceases to amaze me.Umebadili jina ili upande ndege😄😄
Angela kairuki anagawa maburungutu ya pesa huko kibamba. Bila kusahau yale ya MAKONDA na sabaya huko Arusha na Alumeru.Popote tu kikubwa nipande ndege,
Soma uzi wangu uliotangulia
Ahsante kwa connectionAngela kairuki anagawa maburungutu ya pesa huko kibamba. Bila kusahau yale ya MAKONDA na sabaya huko Arusha na Alumeru.
Watu hawa wanagawa pesa walizoiba ili waweze kuleta MAENDELEO
Kachukuwe ikawe NAULI ya kwenda serous national park
Ukitaka kubadili jina lako la sasa unaweza kuingia kwenye profile yako ukabadilisha, wewe hapa umekuja na new memberSijakuelewa Sozo
Utajua tu mdogomdogo, Kiingereza na madarasa wala havina uhusiano. Kuna wasiojua kusoma wala kuandika lakini wanaongea Kiingereza kwa ustadi mkubwa na wanakielewa kwa ufasaha kabisa.Mie wa darasa la 7 kizungu sijui, tafsiri
Mboga Saba mnatabu sana.Habari zenu Watanzania wenzangu,
Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa nimebadili ili tuongee lugha moja,
Wale maboss zangu waliotaka kunisponsor kwenye usafiri wa ndege karibuni sana msitishwe na maneno ya waja, na soon nataka niverify akaunti yangu,
#Bado sijapanda ndege, nisaidieni nipande ndege
Ingetosha tu hii Motto yake angeiweka. Kwenye signature yake na si kuharibu nyuzi.Afadhali umekula ban maana unasumbua
Niliwasiliana na viongozi wa JamiiForum wakanielekeza jinsi ya kubadili jina langu lakini ilibidi nisubiri utimie mwezi mmoja ndipo niweze kubadili, mimi ni mwanachama mpyaUkitaka kubadili jina lako la sasa unaweza kuingia kwenye profile yako ukabadilisha, wewe hapa umekuja na new member