Ungenielewesha kuliko kunisimangaUtajua tu mdogomdogo, Kiingereza na madarasa wala havina uhusiano. Kuna wasiojua kusoma wala kuandika lakini wanaongea Kiingereza kwa ustadi mkubwa na wanakielewa kwa ufasaha kabisa.
Kiingereza ni lugha tu kama Kimakonde na Kinyaturu.
Ulikuwa na shida gani mpaka usubiri mwezi? Mbona una edit na kusubiri baada ya muda inabadilikaNiliwasiliana na viongozi wa JamiiForum wakanielekeza jinsi ya kubadili jina langu lakini ilibidi nisubiri utimie mwezi mmoja ndipo niweze kubadili, mimi ni mwanachama mpya
Amekataa kuitwa hivyo! Heshimu hisia zake basi tafadhali! Vipi kama ungefanyiwa hivyo wewe?Bakari acha mambo yako
Inawezekana, ukiingia kwenye profile yako, unaenda hapo palipoandikwa changeNadhani hili swali tungewauliza viongozi wetu wa huu mtandao mie sina uzoefu au jaribu sasa hivi kuedit jina lako halafu nambie wamesemaje
Akatulie mortuary sio.Afadhali umekula ban maana unasumbua
Change jina lako halafu lirudishe lile la mwanzo tuone watasemajeInawezekana, ukiingia kwenye profile yako, unaenda hapo palipoandikwa change
View attachment 3396395
Kwa sasa sina haja hiyo, ila nimefanya hivyo siku za nyuma ilikubaliChange jina lako halafu lirudishe lile la mwanzo tuone watasemaje
Ahsante kwa kunilinda, umekua muungwana sana Elisha,Amekataa kuitwa hivyo! Heshimu hisia zake basi tafadhali! Vipi kama ungefanyiwa hivyo wewe?
Kama una hela ya kumpandisha ndege fanya hivyo vinginevyo bora upite kimya kimya!!
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza!!
Alafu kweli hii account yako ni mpyaNiliwasiliana na viongozi wa JamiiForum wakanielekeza jinsi ya kubadili jina langu lakini ilibidi nisubiri utimie mwezi mmoja ndipo niweze kubadili, mimi ni mwanachama mpya
Popoma mwitu niajeAfadhali umekula ban maana unasumbua
rudia tena ile sloganPopoma mwitu niaje