Nimebaki na 1% ya kumuamini Mungu

Nimebaki na 1% ya kumuamini Mungu

Mungu hana msaada wowote sijui ni Mungu wa kitapeli!!
Umuamini. Usimuamini. Safari ipo pale pale.. Sikulaumu wala nini amini kwa kadri unavyoona nafsi yako itafaa haupo peke yako..
 
Mungu wa mchongo anachosha sana.
Swala la kumuamini Mungu au kutokumuamini ni lako wewe binadamu na halimuhusu Mungu,,,,yani hafaidiki kitu kwa kwa imani yako kwake au kutokumuamini.
 
Hakuna Mungu wa kuaminiwa.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
Ume kosa tu uvumilivu na kujihesabia haki; Kila la heri kwenye safari yako ya kuchanganyikiwa na mwishowe kifo kisicho na matumaini!
Kwenye kuchanganyikiwa hakuna heri. Kwa kuwa umeamua kumsagia kunguni ungeandika hivi:- "Kila la Shari kwenye safari yako...................". Mwisho wa kunukuu.
 
Nakuombea kwa Mungu akuhurumie na kukurehemu kwa ujeuri huu uliounyesha kwake.
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye ujeuri?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasio wajeuri?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
 
Ungetoa na sababu za kutomwamini Mungu ili uweze kuapata ushauri wa kiroho.
Mara nyingi watu wanaodai hawamwamini Mungu ni wale ambao wapo maisha ya kati,,,uhakika wa kula, kulala na matibabu,,,,na wengine ni wale waliokata tamaa baada yakuhangaika sana bila mafanikio.
 
Mara nyingi watu wanaodai hawamwamini Mungu ni wale ambao wapo maisha ya kati,,,uhakika wa kula, kulala na matibabu,,,,na wengine ni wale waliokata tamaa baada yakuhangaika sana bila mafanikio.
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee, na kujiongelea mwenyewe kama ana huo uwezo.
 
Imani ni karama kutoka kwa Mungu, mara nyingi tukizama kwenye uovu, nafsi zetu hutudanganya kuwa Mungu hayupo, lakini yapo matendo amabyo Mungu alishakutendea ili kujifunua kwako, rejea hayo maana unajua haikua bahati mbaya.
 
Kwenye kuchanganyikiwa hakuna heri. Kwa kuwa umeamua kumsagia kunguni ungeandika hivi:- "Kila la Shari kwenye safari yako...................". Mwisho wa kunukuu.

Simtakii shari mimi, kajitakia mwenyewe kwa kumkataa Mungu!!
 
Hiyo moja umeipata vipi?
Uwepo wa jinsia mbili wanawake na wanaume
Pia uwepo wa mboo na K.

Uwepo wa maji, Uwepo wa jua na uwepo wa lugha pia.

Kwa mbali ni kama kuna nguvu fulani iliyoweka hivo vitu, Ila kitu kinachonifanya nimpunguzie alama ni mambo yanayoendelea hapa duniani, E.g watu kufa kwa njaa, magonjwa ya ajabu kwa wasiokuwa na hatia, majanga ya asili kama tetemeko na tsunami.etc
 
Back
Top Bottom