Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

Nenda tu tena muulize kama anatoa kwa Lipa. 😀

Mkuu, hiyo hela ni kubwa sana. Kuna siku nilikuwa ninabuku kwenye m-pesa nikaenda kusubiri mtu anayetaka kununua vocha ya buku. Nikamrushia kama vocha akanipa keshi. 😂
Akili mkichwa, shida inafunza!
 
Wakuu,kufulia kusikie tu kwa jirani aise.
Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m pesa.sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
Juzi kati nimeamka asubui taa ya kiwese inawaka nikaamua kuacha gari nikapanda bajaji nimepiga mishe siku nzima Holla. Nikazama kwa wakala nikatoa buku 3 kiroho Safi cha ajabu mdada wakala akaikunja vizuri akanipa kwa kificho.
 
Back
Top Bottom