reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Mi natoaga Hadi buku jeroWakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.