InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
....tafuta wakala wa kiume.!Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.