Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.

Mi shatoa buku jero kupata nauli
 
Juzi kati niliitwa kula futari sehemu ,nimetoka jobu na kasuti kangu ka kushonesha nikaenda kubonda futari jamaa aliekua anatakiwa kunifata akapata dharula ,kwenye mpesa na 1900 nikatoa buku nikalipa toyo huyooo.Nikawaacha wadada wa pale mpesa waninitumbulia mijicho tu.
 
Endelea kuona aibu ukufe njaa...watu tunaenda kwa wakala kutoa songesha
 
Back
Top Bottom