kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Juzi kati nimeamka asubui taa ya kiwese inawaka nikaamua kuacha gari nikapanda bajaji nimepiga mishe siku nzima Holla. Nikazama kwa wakala nikatoa buku 3 kiroho Safi cha ajabu mdada wakala akaikunja vizuri akanipa kwa kificho.Wakuu,kufulia kusikie tu kwa jirani aise.
Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m pesa.sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
Mpe elfu 8 atoe elfu kumiUlikua unataka uongezewe ngapi ili uwe comfortable kuitoa?
Mimi nakutaka wewe tuu.Ulikua unataka uongezewe ngapi ili uwe comfortable kuitoa?
Afsita mkuu 😂Ulikua unataka uongezewe ngapi ili uwe comfortable kuitoa?
Muamin yesu utanishukuruWakuu,kufulia kusikie tu kwa jirani aise.
Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m pesa.sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.